Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mhe.Pandu Ameir Kificho ndiye Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba.


Bunge Maalumu la Katiba limemchagua Mhe. Pandu  Ameir Kificho (pichani) kuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba. Katika uchaguzi wa nafasi hiyo uliofanyika  kwenye Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Mh.Kificho ameshinda kwa Kura 393 sawa na Asilimia 69.Washindani wengine, Bi.Magret na Mhe.Mahalu wamepata Kura 84 kila mmoja sawa na Asilimia 15.79%. Akitangaza matokeo hayo Katibu wa Bunge Dk Thomas Kashililah alisema Mhe. Kificho ameshinda baada ya kupata kura 393 sawa na 69.19% ya kura 558...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MHE. SPIKA PANDU AMEIR KIFICHO AONGOZA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KUTEMBELEA BUNGE LA ULAYA, BRUSSELS

Mhe. Spika Pandu Ameir Kificho (wanne kutoka kulia) akiongoza Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Wanaotembelea Bunge la Ulaya. Wajumbe wengine wa Baraza la Wawakilishi wanaoshiriki ziara hiyo ya mafunzo ni Mhe. Shamsi Vuai Nahodha, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mhe.abdalla Juma Abdalla, Mhe. Hamad Masoud Hamad na Mhe. Zahra Ali Hamad. Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala P ameungana na Waheshimiwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kushiriki ziara hiyo ya siku tatu. Bunge...

 

11 years ago

Mwananchi

Pandu achaguliwa mwenyekiti wa muda #Bunge Maalum la Katiba

Spika wa Bunge la Wawakilishi Zanzibar na Mbunge wa Bunge maalum la Katiba, Pandu Amir Kificho  amechaguliwa na wajumbe wa Bunge hilo kuwa Mwenyekiti wa muda.

 

11 years ago

Mwananchi

Kificho mwenyekiti wa muda Bunge la Katiba

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

11 years ago

Habarileo

Kificho Mwenyekiti wa muda Bunge Maalum la Katiba

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, katika uchaguzi uliofanyika jana mjini hapa.

 

11 years ago

IPPmedia

Pandu Ameir Kificho


IPPmedia
Pandu Ameir Kificho
IPPmedia
The opposition camp yesterday scored some marks in the Constituent Assembly after the Assembly accepted to dissolve its steering committee. In a hushed announcement, Deputy CA Chairperson Samia Suluhu Hassan said that Chairperson Samuel Sitta ...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe.Samia Suluhu Hassan ndiye makamu mwenyekiti wa bunge maalum la katiba

Hatimaye leo Bunge maalum la Katiba limemchagua Mhe.Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu Mwenyekiti wake mjini Dodoma.   Hii inakuja baada ya jana kumchagua Mhe.Samweli Sitta kuwa Mwenyekiti. Mhe Hassan alichaguliwa kwa kura 390 sawa na asilimia 74.6 na kumshinda mpinzani wake Amina Abdalla Amour. Kura 7 ziliharibika - kama jana.   Katibu wa Bunge hilo Maalum ambaye atajulikana wakati wowote kuanzia sasa ataapishwa na Rais Jakaya Kikwete kesho asubuhi Ikulu ndogo Dodoma.   Katibu wa Bunge ndiye...

 

11 years ago

GPL

SAMUEL SITTA NDIYE MWENYEKITI WA KUDUMU BUNGE LA KATIBA

Samuel John Sitta. ALIYEKUWA Spika wa Bunge la tisa, ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki,Samuel John Sitta ndiye Mwenyekiti wa Kidumu wa Bunge Maalum la Katiba baada ya kushinda kwa kura 487 dhidi ya 69 za mpinzani wake, Hashim Rungwe! Mhe. Sitta ameshinda nafasi hyo hivi punde baada ya uchaguzi uliofanyika…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani