Mhe.Samia Suluhu Hassan ndiye makamu mwenyekiti wa bunge maalum la katiba
Hatimaye leo Bunge maalum la Katiba limemchagua Mhe.Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu Mwenyekiti wake mjini Dodoma. Hii inakuja baada ya jana kumchagua Mhe.Samweli Sitta kuwa Mwenyekiti. Mhe Hassan alichaguliwa kwa kura 390 sawa na asilimia 74.6 na kumshinda mpinzani wake Amina Abdalla Amour. Kura 7 ziliharibika - kama jana. Katibu wa Bunge hilo Maalum ambaye atajulikana wakati wowote kuanzia sasa ataapishwa na Rais Jakaya Kikwete kesho asubuhi Ikulu ndogo Dodoma. Katibu wa Bunge ndiye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSAMIA HASSAN NDIYE MAKAMU MWENYEKITI BUNGE LA KATIBA
11 years ago
Michuzi13 Mar
Mh. Samia Suluhu arudisha Fomu ya kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bunge Maalum la Katiba mjini dodoma leo
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA SHREHE ZA MAULID ZANZIBAR
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI WA MKOA WA DODOMA.
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA UONGOZI WA MTANDAO WA WANAWAKE TANZANIA.
9 years ago
Michuzi14 Nov
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan mgeni rasmi ufunguzi michezo ya shimmuta Arusha
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan
Na Woinde Shizza,Arusha
Michuano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA), yanatarajia kuanza kutimua vumbi wiki ijayo jijini Arusha kwa kushirikisha Mikoa Yote Tanzania.
Katibu mkuu wa SHIMMUTA Award Safari alisema kuwa hadi sasa tayari mikoa kadhaa imethibitisha ushiriki wao ikiwemo wenyeji wa mashindano hayo Mkoa wa Arusha na Mikoa mingine ni Dar es salaam, Dodoma, Morogoro, Mbeya na Tanga. ...
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MABALOZI WA NORWAY NA MALAWI
Katika hatua nyingine, Mheshimiwa Makamu wa Rais leo Desemba 11, 2015 amekutana na Balozi wa Norway nchini...