Kificho mwenyekiti wa muda Bunge la Katiba
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo19 Feb
Kificho Mwenyekiti wa muda Bunge Maalum la Katiba
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, katika uchaguzi uliofanyika jana mjini hapa.
11 years ago
MichuziMhe.Pandu Ameir Kificho ndiye Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba.
Bunge Maalumu la Katiba limemchagua Mhe. Pandu Ameir Kificho (pichani) kuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba. Katika uchaguzi wa nafasi hiyo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Mh.Kificho ameshinda kwa Kura 393 sawa na Asilimia 69.Washindani wengine, Bi.Magret na Mhe.Mahalu wamepata Kura 84 kila mmoja sawa na Asilimia 15.79%. Akitangaza matokeo hayo Katibu wa Bunge Dk Thomas Kashililah alisema Mhe. Kificho ameshinda baada ya kupata kura 393 sawa na 69.19% ya kura 558...
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Pandu achaguliwa mwenyekiti wa muda #Bunge Maalum la Katiba
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Kificho akata tamaa Bunge la Katiba
MWENYEKITI wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, ameonyesha kukata tamaa na kasi ya Bunge hilo inavyoenda taratibu kinyume cha matarajio. Akizungumza kupitia kituo cha Radio One...
11 years ago
Michuzi05 Aug
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n6JmThHrscZRThfVVNSbCOmFiN*wfTCycf-cQ83j9rHOumWBCsBO-ETXw4K23r5SrvJRhUHdmqehVqM0-0bMb4HwLPN-Cle8/unnamed72.jpg?width=650)
MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA