Kificho akata tamaa Bunge la Katiba
MWENYEKITI wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, ameonyesha kukata tamaa na kasi ya Bunge hilo inavyoenda taratibu kinyume cha matarajio. Akizungumza kupitia kituo cha Radio One...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Feb
Kificho mwenyekiti wa muda Bunge la Katiba
11 years ago
Habarileo19 Feb
Kificho Mwenyekiti wa muda Bunge Maalum la Katiba
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, katika uchaguzi uliofanyika jana mjini hapa.
11 years ago
Mwananchi14 Jul
Kocha akata tamaa Madola
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Bunge la Katiba linakatisha tamaa
TAKRIBANI wiki moja imepita tangu kuanza kwa vikao vya Bunge la Katiba mjini Dodoma, lakini hakuna kilichofanyika hadi sasa. Tangu Bunge hilo lilipoanza, tulianza kusikia mzozo wa posho, mara wabunge...
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Kwanini Bunge la Katiba wametanguliza tamaa?
MIONGONI mwa taarifa zilizowashtua Watanzania wengi wazalendo ni kauli ya baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba kutaka nyongeza ya posho hata kabla ya kufikia robo ya kazi iliyo mbele...
11 years ago
MichuziMhe.Pandu Ameir Kificho ndiye Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba.
Bunge Maalumu la Katiba limemchagua Mhe. Pandu Ameir Kificho (pichani) kuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba. Katika uchaguzi wa nafasi hiyo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Mh.Kificho ameshinda kwa Kura 393 sawa na Asilimia 69.Washindani wengine, Bi.Magret na Mhe.Mahalu wamepata Kura 84 kila mmoja sawa na Asilimia 15.79%. Akitangaza matokeo hayo Katibu wa Bunge Dk Thomas Kashililah alisema Mhe. Kificho ameshinda baada ya kupata kura 393 sawa na 69.19% ya kura 558...
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Wananchi walicharukia Bunge la #Katiba, wataka liache tamaa, lisipoteze muda [VIDEO]
11 years ago
Mwananchi07 Mar
Kanuzi zazidi kutatiza wajumbe Bunge la Katiba, Kificho aipa Kamati jukumu la ‘kuleta maridhiano’ [VIDEO]