Makinda ataka Bunge la Katiba liombewe
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amewaomba Watanzania kuliombea Bunge Maalumu la Katiba kwa kuwa lipo kwenye hali mbaya. Makinda alisema hayo mjini Dodoma jana wakati wa kutoa salamu katika ibada...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-6xF6gU8ttPk/U_78ggu6oQI/AAAAAAAABko/8frNcpLzS4g/s72-c/MAKINDAANNE.jpg)
Spika Makinda ataka ushirikiano Bunge la EAC
Na Mwandishi Wetu
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amewataka wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kutengeneza utaratibu wa kuongeza uhusiano kati ya bunge hilo na yale ya nchi wanachama.
Akizungumza katika ufunguzi wa bunge hilo, Spika Anne alisema tayari maspika wa mabunge ya nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), wamekubalina kuunda kamati zitakazoshughulikia mambo ya jumuia hizo.
![](http://3.bp.blogspot.com/-6xF6gU8ttPk/U_78ggu6oQI/AAAAAAAABko/8frNcpLzS4g/s1600/MAKINDAANNE.jpg)
11 years ago
Habarileo06 Apr
Tuliombee Bunge la Katiba-Makinda
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda amesema Katiba inaweza kuwa chanzo cha nchi kusambaratika na kuwataka viongozi wa dini na wananchi kwa ujumla, kila mmoja kwa imani yake kuliombea Bunge Maalumu la Katiba. Aliyasema hayo jana wakati akitoa salamu za wabunge na viongozi wa siasa kwenye ibada ya kumuombea aliyekuwa Askofu wa Kanisa Anglikana, Dayosisi ya Central Tanganyika, Godfrey Mhogolo ambaye alizikwa jana kwenye viwanja vya kanisa hilo mjini hapa. Makinda alisema kama kila mmoja...
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Makinda: Wajumbe Bunge la Katiba msikubali kununuliwa
11 years ago
Habarileo06 Mar
Walimu, DC wataka Bunge Maalum liombewe
WALIMU wilayani Kibaha mkoani Pwani, wameaomba wananchi kuwaombea wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba ili waweze kupitisha Katiba yenye maslahi kwa wananchi. Walieleza kuwa Katiba nzuri na yenye maslahi kwa wananchi, itasaidia kufanya nchi kuendelea kuwa na amani.
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Ataka vazi la Kimasai Bunge la Katiba
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ester Mirimba, ametaka vazi la Kimasai kuwa maalumu wakati wa vikao vya Bunge hilo. Ester ni mwakilishi wa kundi la wafugaji kutoka Chalinze, alisema...
11 years ago
Habarileo17 Jul
Waziri ataka Bunge la Katiba wajipange
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar wametakiwa kujipanga upya katika mchakato wa Bunge lijalo kwa ajili ya kuzipatia ufumbuzi kero za Muungano.
10 years ago
Habarileo29 Sep
Mjumbe ataka marekebisho Bunge la Katiba
SIKU chache baada ya Bunge Maalumu la Katiba (BMK) kupokea rasimu ya Katiba mpya iliyopendekezwa, mmoja wa wajumbe wa bunge hilo anayetoka kundi la 201, John Ndumbaro ameibukia mjini hapa na kutaka vipengele kadhaa vifanyiwe marekebisho.
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Shibuda ataka Pinda alinusuru Bunge la Katiba
11 years ago
Mtanzania11 Aug
Bunge la Katiba: Mjumbe ataka atumiwe tiketi ya ndege Marekani
![Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Deus-Kibamba.jpg)
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba
Na Fredy Azzah, Dodoma
MWENYEKITI wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba, amesema mmoja wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba hadi sasa hajahudhuria vikao vya Bunge hilo kwa vile aliteuliwa akiwa Marekani.
Amesema mjumbe huyo pia amekuwa akiitaka Ofisi ya Bunge la Katiba imtumie tiketi ya ndege aweze kuhudhuria vikao hivyo vinavyoendelea mjini Dodoma.
Kibamba akizungumza na waandishi wa habari Dodoma jana, alisema tathmini ya wiki...