Shibuda ataka Pinda alinusuru Bunge la Katiba
Mjumbe wa Bunge la Katiba, John Shibuda amemshauri Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Idd na Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, kukaa na kutafakari ili kulinusuru Bunge hilo kwa kuwa ubabe wa CCM hautawezesha kupatikana kwa katiba iliyokusudiwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Mizengo Pinda ataka kanuni za Bunge zibadilishwe
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Matukio mbalimbali Waziri Mkuu Pinda kutoka Bunge mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wajumbe wa...
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Ataka vazi la Kimasai Bunge la Katiba
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ester Mirimba, ametaka vazi la Kimasai kuwa maalumu wakati wa vikao vya Bunge hilo. Ester ni mwakilishi wa kundi la wafugaji kutoka Chalinze, alisema...
11 years ago
Habarileo17 Jul
Waziri ataka Bunge la Katiba wajipange
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar wametakiwa kujipanga upya katika mchakato wa Bunge lijalo kwa ajili ya kuzipatia ufumbuzi kero za Muungano.
10 years ago
Habarileo29 Sep
Mjumbe ataka marekebisho Bunge la Katiba
SIKU chache baada ya Bunge Maalumu la Katiba (BMK) kupokea rasimu ya Katiba mpya iliyopendekezwa, mmoja wa wajumbe wa bunge hilo anayetoka kundi la 201, John Ndumbaro ameibukia mjini hapa na kutaka vipengele kadhaa vifanyiwe marekebisho.
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Makinda ataka Bunge la Katiba liombewe
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amewaomba Watanzania kuliombea Bunge Maalumu la Katiba kwa kuwa lipo kwenye hali mbaya. Makinda alisema hayo mjini Dodoma jana wakati wa kutoa salamu katika ibada...
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Mandaalizi ya Bunge la Katiba yamridhisha Pinda
10 years ago
Habarileo22 Sep
Pinda: Bunge la Katiba lipo kisheria
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesisitiza kuwa hakuna sababu ya msingi ya kusitisha Bunge Maalumu la Katiba kwa kuwa mchakato wake unaoendelea sasa upo kisheria na ameomba waumini wa dini na viongozi wao kuombea ili uweze kumalizika kwa usalama.
11 years ago
Mtanzania11 Aug
Bunge la Katiba: Mjumbe ataka atumiwe tiketi ya ndege Marekani
![Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Deus-Kibamba.jpg)
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba
Na Fredy Azzah, Dodoma
MWENYEKITI wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba, amesema mmoja wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba hadi sasa hajahudhuria vikao vya Bunge hilo kwa vile aliteuliwa akiwa Marekani.
Amesema mjumbe huyo pia amekuwa akiitaka Ofisi ya Bunge la Katiba imtumie tiketi ya ndege aweze kuhudhuria vikao hivyo vinavyoendelea mjini Dodoma.
Kibamba akizungumza na waandishi wa habari Dodoma jana, alisema tathmini ya wiki...