Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mizengo Pinda ataka kanuni za Bunge zibadilishwe

Uamuzi wa wabunge wa Kambi Rasmi ya Upinzani kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge wakisusia uhitimishaji wa mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, kimemzindua Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye amependekeza kubadilishwa kwa kanuni za Bunge ili kuwadhibiti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kanuni zaibua tena mdahalo Bunge la #Katiba, Ukawa wahoji kwa nini zibadilishwe [VIDEO]

Wana-UKAWA hao wamesisitiza kamwe hawatakubali mabadiliko yoyote ya kanuni, isipokuwa yale tu ya vipengele vya 37 and 38 vinavyoelekeza namna ya kupiga kura.

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NDANI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd, Bungeni Mjini Dodoma, leo Machi 10,2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd (kushoto), Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira (kushoto)  na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba (kulia) wakijadili jambo… ...

 

10 years ago

GPL

HOTUBA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 16 NA 17 WA BUNGE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma leo Novemba 29, 2014 Mawaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya (kulia) na Stephen Wasira (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bugeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma leo Novemba 29,… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Shibuda ataka Pinda alinusuru Bunge la Katiba

Mjumbe wa Bunge la Katiba, John Shibuda amemshauri Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Idd na Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, kukaa na kutafakari ili kulinusuru Bunge hilo kwa kuwa ubabe wa CCM hautawezesha kupatikana kwa katiba iliyokusudiwa.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKUTANA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA MAMBO YA NJE YA BUNGE LA JAMHURI YA KOREA,PIA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA UCHUKUZI WA BURUNDI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano wa Jamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon (kulia kwake) na msafara wake baada ya mazungumzo, kwenye makazi ya Waziri Mkuumjini Dodoma Machi 12, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Muungano waJjamhuri ya Korea, Ahn Hong Joon baada ya mazungumzo kwenye makazi ya Waziri Mkuu mjni Dodoma Machi, 12, 2014. Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 16 NA 17 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 29 NOVEMBA, 2014

I:UTANGULIZI                                  a)Masuala ya jumla
Mheshimiwa Spika,1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu.  Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.
Mheshimiwa Spika,2. Mkutano huu ulijumuisha kujadili kazi kubwa zifuatazo:
Kwanza: Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2015/2016;
Pili:Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 [The Tax Administration...

 

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO  PETER  PINDA                                                                                         UTANGULIZI


1.            Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na kujadili Taarifa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani