WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NDANI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO
![](http://api.ning.com:80/files/bDmjSM9kXXZzJXuiwocZe5XLHlFagtZDjAWBkwIY9FahfGkZ7Tw4vmQcJP1l8BSZy6DS95dPF1W-s7Uos-FMwtSwbHwcV5yg/bungeni3.jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd, Bungeni Mjini Dodoma, leo Machi 10,2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd (kushoto), Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira (kushoto) na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba (kulia) wakijadili jambo… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Matukio mbalimbali Waziri Mkuu Pinda kutoka Bunge mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wajumbe wa...
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA NA WAJUMBE MBALIMBALI WA BUNGE LA KATIBA LEO MJINI DODOMA
11 years ago
MichuziKUTOKA BUNGENI: WAZIRI MKUU AKIWA NA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-A84tmDso8F0/U1kqbvKim4I/AAAAAAAFcqo/i2fCvTQ5ymc/s72-c/unnamed+(28).jpg)
Waziri Mkuu akiwa na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino waliotembelea Bunge Maalum la Katiba mjini dodoma leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-A84tmDso8F0/U1kqbvKim4I/AAAAAAAFcqo/i2fCvTQ5ymc/s1600/unnamed+(28).jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZWU12hx1M7k/VVJF6t441QI/AAAAAAAHW6s/Bs0f3xs86qA/s640/unnamed%2B(25).jpg)
UTANGULIZI
1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na...