Kanuni zaibua tena mdahalo Bunge la #Katiba, Ukawa wahoji kwa nini zibadilishwe [VIDEO]
Wana-UKAWA hao wamesisitiza kamwe hawatakubali mabadiliko yoyote ya kanuni, isipokuwa yale tu ya vipengele vya 37 and 38 vinavyoelekeza namna ya kupiga kura.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Bunge la Katiba 'litaendelea bila Ukawa,' asema Sitta huku kanuni zikirekebishwa [VIDEO]
Wakati vikao vya Bunge Maalum la Katiba vikianza tena mjini Dodoma bila ya kuwepo kwa Ukawa, Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samweli Sitta amesema Bunge hilo halitaahirisha shughuli zake hadi hapo muda wa siku 60 waliopewa utakapokamilika.
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Mizengo Pinda ataka kanuni za Bunge zibadilishwe
Uamuzi wa wabunge wa Kambi Rasmi ya Upinzani kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge wakisusia uhitimishaji wa mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, kimemzindua Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye amependekeza kubadilishwa kwa kanuni za Bunge ili kuwadhibiti.
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Wanasheria wahoji uhalali wa Bunge la Katiba bila Ukawa
Zikiwa zimebaki wiki mbili kuanza vikao vyake, baadhi ya wanasheria wamehoji uhalali wa Bunge hilo kujadili na kupitisha Rasimu ya Katiba bila ya kuwapo kwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Bunge la Katiba: Kanuni zisilazimishe kura ya wazi, usiri? [VIDEO]
Ushauri huo umetolewa na mwenyekiti wa Kamati hiyo, Prof. Costa Ricky Mahalu katika semina iliyohitimishwa leo asubuhi.
11 years ago
Mwananchi15 Mar
‘Msipofuata kanuni, tusilaumiane,’ Sitta awaonya wajumbe wa #Bunge la #Katiba [VIDEO]
>Sitta aasa wajumbe wafanye kazi iliyowapeleka Dodoma bila manung’uniko wala lawama.
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Kanuni za kuongoza #Bunge la #Katiba zawasilishwa, porojo za kupoteza muda sasa marufuku [VIDEO]
BUNGE maalum la Katiba limekutana leo mjini Dodoma kwa ajili ya kujadili kanuni mbalimbali zitakazotumika kuliendesha Bunge hilo katika vikao vyake.
11 years ago
Michuzi05 Aug
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Yakhe wakimbia nini? Mjumbe Bunge la #Katiba adai Wazanzibari wakiitosa Bara watakosa makazi [VIDEO]
Hoja mpya kuhusu mustakabali wa Muungano yaibuka leo katika Bunge Maalum la Katiba linaloendelea mjini hapa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania