Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mandaalizi ya Bunge la Katiba yamridhisha Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema ameridhishwa na kazi ya ukarabati inayoendelea kwenye maeneo mbalimbali ya Jengo la Bunge ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza Februari mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali Waziri Mkuu Pinda kutoka Bunge mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba

PG4A9843

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba  (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9873

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9890

Wajumbe wa...

 

10 years ago

Habarileo

Pinda: Bunge la Katiba lipo kisheria

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesisitiza kuwa hakuna sababu ya msingi ya kusitisha Bunge Maalumu la Katiba kwa kuwa mchakato wake unaoendelea sasa upo kisheria na ameomba waumini wa dini na viongozi wao kuombea ili uweze kumalizika kwa usalama.

 

11 years ago

Mwananchi

Shibuda ataka Pinda alinusuru Bunge la Katiba

Mjumbe wa Bunge la Katiba, John Shibuda amemshauri Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Idd na Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, kukaa na kutafakari ili kulinusuru Bunge hilo kwa kuwa ubabe wa CCM hautawezesha kupatikana kwa katiba iliyokusudiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Chonde Ukawa rudini Bunge la Katiba

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewasihi viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurejea katika vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyotarajiwa kuendelea tena kuanzia Agosti 5 mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

BUNGE LA KATIBA, PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA BARRICK GOLD TANZANIA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Africana  Barrick Gold Tanzania, kwenye makazi yake mjini Dodoma  Machi 25,2014. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Serikali (Director of Government Relations)), Balozi Emmanuel  Ole Naiko, Makamu wa Rais, Deo Mwanyika na Ofisa Mtendaji Mkuu (Chief  Executive Officer ), Brand Gordon. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masere  (kushoto...

 

11 years ago

Michuzi

pinda akiwa na wajumbe wa bunge maalumu la katiba mjini dodoma leo

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba , Mhe. Saidi Mohamed Mtunda (katikati) na Mhe. Subira Mgalu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wajumbe wa  Bunge Maalum la Katika kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mhe. Dominick Lyamchay, Mhe. Rashid Mtuta, Mhe. Consitantine Akitanda na  Mhe. Fahmi Dovutwa. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani