Pinda: Chonde Ukawa rudini Bunge la Katiba
>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewasihi viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurejea katika vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyotarajiwa kuendelea tena kuanzia Agosti 5 mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://1.bp.blogspot.com/-Wi3fabXv84U/U7La-NKf5DI/AAAAAAAABSg/OD4RIdVY3bI/s72-c/niwemugizi.jpg)
‘UKAWA rudini bungeni’
NA FRANK KIBIKI, IRINGA
BARAZA la Maaskofu Tanzania (TEC), limeitaka serikali kuhakikisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanarejea bungeni bila masharti.
Limesema Bunge Maalumu la Katiba lipo na linaendeshwa kwa mujibu wa sheria hivyo, wajumbe wanapaswa kurejea pindi litakapoanza vikao vyake ili kuutendea haki mchakato wa Katiba Mpya.
![](http://1.bp.blogspot.com/-Wi3fabXv84U/U7La-NKf5DI/AAAAAAAABSg/OD4RIdVY3bI/s1600/niwemugizi.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Matukio mbalimbali Waziri Mkuu Pinda kutoka Bunge mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wajumbe wa...
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Mziray: Ukawa rudini bungeni
11 years ago
Habarileo02 Jul
Askofu: Ukawa rudini bungeni
KANISA Katoliki Tanzania limetoa tamko zito kuhusu mchakato wa Katiba unaoendelea, matukio yanayoashiria uchochezi wa dini na Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani, unaotarajiwa kufanyika mwaka kesho.
11 years ago
Habarileo23 Apr
'Mliosusa Bunge Maalum rudini'
WAJUMBE wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi na baadhi ya kundi la 201 waliosusa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba, wameombwa kurudi bungeni kutengeneza Katiba kwani mchakato huo ni muhimu kwa mustakabali wa Taifa na Watanzania wote.
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Mandaalizi ya Bunge la Katiba yamridhisha Pinda
10 years ago
Habarileo22 Sep
Pinda: Bunge la Katiba lipo kisheria
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesisitiza kuwa hakuna sababu ya msingi ya kusitisha Bunge Maalumu la Katiba kwa kuwa mchakato wake unaoendelea sasa upo kisheria na ameomba waumini wa dini na viongozi wao kuombea ili uweze kumalizika kwa usalama.
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
UKAWA ‘wahamia’ Bunge la Katiba
KATIKA hali inayoonekana kama kutaabishwa na wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, jana alichepuka kwa takribani dakika sita...
11 years ago
Habarileo04 Aug
Bunge la Katiba bila Ukawa
BUNGE Maalumu la Katiba litaendelea na vikao bila kujali uwepo au kutokuwapo kwa baadhi ya wajumbe waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, ambaye ndiye Mratibu wa Bunge hilo, alitoa kauli hiyo jana wakati wa mdahalo ulioandaliwa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa).