Mziray: Ukawa rudini bungeni
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Kuga Mziray amewashauri wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurudi bungeni kuendeleza mchakato wa kujadili Rasimu ya Mabadiliko ya Katiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://1.bp.blogspot.com/-Wi3fabXv84U/U7La-NKf5DI/AAAAAAAABSg/OD4RIdVY3bI/s72-c/niwemugizi.jpg)
‘UKAWA rudini bungeni’
NA FRANK KIBIKI, IRINGA
BARAZA la Maaskofu Tanzania (TEC), limeitaka serikali kuhakikisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanarejea bungeni bila masharti.
Limesema Bunge Maalumu la Katiba lipo na linaendeshwa kwa mujibu wa sheria hivyo, wajumbe wanapaswa kurejea pindi litakapoanza vikao vyake ili kuutendea haki mchakato wa Katiba Mpya.
![](http://1.bp.blogspot.com/-Wi3fabXv84U/U7La-NKf5DI/AAAAAAAABSg/OD4RIdVY3bI/s1600/niwemugizi.jpg)
10 years ago
Habarileo20 Aug
Maridhiano ni Ukawa kurudi bungeni-Mziray
BARAZA la Vyama vya Siasa, limeshangazwa na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kudai maridhiano wakati bado wanaendelea na mapambano kwa kukataa kurejea katika Bunge Maalumu la Katiba.
11 years ago
Habarileo02 Jul
Askofu: Ukawa rudini bungeni
KANISA Katoliki Tanzania limetoa tamko zito kuhusu mchakato wa Katiba unaoendelea, matukio yanayoashiria uchochezi wa dini na Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani, unaotarajiwa kufanyika mwaka kesho.
10 years ago
Habarileo21 Aug
'Baba, mama rudini bungeni'
KAMATI Kuu ya Baraza la Watoto wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekutana mjini hapa na kutoa tamko la kuwataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) waliowatambulisha kama baba na mama zao, kurudi bungeni kukamilisha kazi waliyoianza.
11 years ago
Mwananchi10 May
Pinda: Chonde Ukawa rudini Bunge la Katiba
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
UKAWA: Haturudi bungeni
WAJUMBE wa Bunge Maalumu, wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wamesema hawatarudi bungeni na badala yake kuanzia kesho wataanza mikutano ya hadhara nchi nzima kuwaeleza wananchi juu ya hila...
9 years ago
Mtanzania21 Nov
Dk. 30 za sekeseke la Ukawa bungeni
*Zomea zomea yao yawatia joto viongozi
*Waimba Maalim Seif…Maalim Seif…Maalim Seif
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
WABUNGE wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana walichafua hali ya hewa bungeni baada ya kuwazomea baadhi ya viongozi walioongozana na Rais Dk. John Magufuli kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa Bunge la 11.
Tukio hilo la kwanza katika Bunge hilo lililoanza Novemba 17, mwaka huu na kuahirishwa jana hadi Januari 26 mwaka 2016, lilianza jana saa 9:35, zikiwa ni dakika chache...
11 years ago
Habarileo05 Apr
Ukawa waumbuana Bungeni
TABIA ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa kutoka vyama vya upinzani waliounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutafuta kasoro ndogo ndogo za kutaka Bunge liahirishwe mara kwa mara, imewatokea puani. Jana baadhi ya wajumbe hao akiwepo Ismail Jussa Ladhu, Tundu Lisu, John Mnyika na Moses Machali, walisimama kupinga marekebisho ya kanuni za Bunge Maalumu kwa madai kuwa yameletwa haraka haraka na yana nia ovu.
11 years ago
Habarileo25 Jun
'Ukawa warudi bungeni'
MWENYEKITI wa Chama Cha Kijamii (CCK) na Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Constantine Akitanda amesema juhudi zao walizoanzisha na chama cha NRA, zimelenga kuhakikisha kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wanarejea bungeni.