UKAWA: Haturudi bungeni
WAJUMBE wa Bunge Maalumu, wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wamesema hawatarudi bungeni na badala yake kuanzia kesho wataanza mikutano ya hadhara nchi nzima kuwaeleza wananchi juu ya hila...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 May
‘Tusipobembelezwa haturudi bungeni’
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
UKAWA: Haturudi
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umesema licha ya viongozi wa dini kuwataka warejee katika Bunge Maalum la Katiba, hawatafanya hivyo kwakuwa wameonyesha upendeleo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wakizungumza...
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
AUDIO: “Haturudi kwenye Bunge Maalum la Katiba” — UKAWA
Viongozi wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wakishikana mikono mara baada ya kuongea na waandishi wa habari kutoa tamko la UKAWA kuhusu wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi Bungeni. Kutoka kulia ni Profesa Safari Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi Mosena Nyambabe, Mwenyekiti wan CHADEMA Freeman Mbow, Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi James Mbatia, Katibu Mkuu wa CHADEMA Wilbrod Slaa, Mbunge Sakaya na Julius Mtatiro wakiwa nje ya Makao Makuu ya CUF
Ripoti...
11 years ago
Habarileo05 Apr
Ukawa waumbuana Bungeni
TABIA ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa kutoka vyama vya upinzani waliounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutafuta kasoro ndogo ndogo za kutaka Bunge liahirishwe mara kwa mara, imewatokea puani. Jana baadhi ya wajumbe hao akiwepo Ismail Jussa Ladhu, Tundu Lisu, John Mnyika na Moses Machali, walisimama kupinga marekebisho ya kanuni za Bunge Maalumu kwa madai kuwa yameletwa haraka haraka na yana nia ovu.
11 years ago
Habarileo25 Jun
'Ukawa warudi bungeni'
MWENYEKITI wa Chama Cha Kijamii (CCK) na Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Constantine Akitanda amesema juhudi zao walizoanzisha na chama cha NRA, zimelenga kuhakikisha kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wanarejea bungeni.
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://1.bp.blogspot.com/-Wi3fabXv84U/U7La-NKf5DI/AAAAAAAABSg/OD4RIdVY3bI/s72-c/niwemugizi.jpg)
‘UKAWA rudini bungeni’
NA FRANK KIBIKI, IRINGA
BARAZA la Maaskofu Tanzania (TEC), limeitaka serikali kuhakikisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanarejea bungeni bila masharti.
Limesema Bunge Maalumu la Katiba lipo na linaendeshwa kwa mujibu wa sheria hivyo, wajumbe wanapaswa kurejea pindi litakapoanza vikao vyake ili kuutendea haki mchakato wa Katiba Mpya.
![](http://1.bp.blogspot.com/-Wi3fabXv84U/U7La-NKf5DI/AAAAAAAABSg/OD4RIdVY3bI/s1600/niwemugizi.jpg)
9 years ago
Mtanzania21 Nov
Dk. 30 za sekeseke la Ukawa bungeni
*Zomea zomea yao yawatia joto viongozi
*Waimba Maalim Seif…Maalim Seif…Maalim Seif
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
WABUNGE wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana walichafua hali ya hewa bungeni baada ya kuwazomea baadhi ya viongozi walioongozana na Rais Dk. John Magufuli kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa Bunge la 11.
Tukio hilo la kwanza katika Bunge hilo lililoanza Novemba 17, mwaka huu na kuahirishwa jana hadi Januari 26 mwaka 2016, lilianza jana saa 9:35, zikiwa ni dakika chache...
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Cheyo awavaa Ukawa bungeni
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Ukawa kupata ‘warithi’ bungeni