Dk. 30 za sekeseke la Ukawa bungeni
*Zomea zomea yao yawatia joto viongozi
*Waimba Maalim Seif…Maalim Seif…Maalim Seif
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
WABUNGE wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana walichafua hali ya hewa bungeni baada ya kuwazomea baadhi ya viongozi walioongozana na Rais Dk. John Magufuli kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa Bunge la 11.
Tukio hilo la kwanza katika Bunge hilo lililoanza Novemba 17, mwaka huu na kuahirishwa jana hadi Januari 26 mwaka 2016, lilianza jana saa 9:35, zikiwa ni dakika chache...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo25 Jun
'Ukawa warudi bungeni'
MWENYEKITI wa Chama Cha Kijamii (CCK) na Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Constantine Akitanda amesema juhudi zao walizoanzisha na chama cha NRA, zimelenga kuhakikisha kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wanarejea bungeni.
11 years ago
Uhuru Newspaper‘UKAWA rudini bungeni’
NA FRANK KIBIKI, IRINGA
BARAZA la Maaskofu Tanzania (TEC), limeitaka serikali kuhakikisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanarejea bungeni bila masharti.
Limesema Bunge Maalumu la Katiba lipo na linaendeshwa kwa mujibu wa sheria hivyo, wajumbe wanapaswa kurejea pindi litakapoanza vikao vyake ili kuutendea haki mchakato wa Katiba Mpya.
Hata hivyo, limeonya kuwa iwapo wataendelea kukaidi, wananchi wasiwachague tena kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kwani, watakuwa wameshindwa...
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
UKAWA: Haturudi bungeni
WAJUMBE wa Bunge Maalumu, wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wamesema hawatarudi bungeni na badala yake kuanzia kesho wataanza mikutano ya hadhara nchi nzima kuwaeleza wananchi juu ya hila...
11 years ago
Habarileo05 Apr
Ukawa waumbuana Bungeni
TABIA ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa kutoka vyama vya upinzani waliounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutafuta kasoro ndogo ndogo za kutaka Bunge liahirishwe mara kwa mara, imewatokea puani. Jana baadhi ya wajumbe hao akiwepo Ismail Jussa Ladhu, Tundu Lisu, John Mnyika na Moses Machali, walisimama kupinga marekebisho ya kanuni za Bunge Maalumu kwa madai kuwa yameletwa haraka haraka na yana nia ovu.
10 years ago
Dewji Blog15 Aug
Ukawa waombwa kurudi Bungeni
Balozi wa amani Tanzania, Risasi Mwaulanga kiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa habari maelezo leo jijijni Dar es Salaam.
Na Rose Masaka-MAELEZO
UKAWA waombwa kukubali maoni ya watanzania walio wengi ya kuheshimu pesa za walipa kodi kwa kurudi bungeni na kupingana kwa hoja kwani hoja zao zikiwa za huakika hazitapingwa bali kanuni na taratibu zinazoendesha bunge zitafuatwa badala ya kuendelea kulalamika katika majukwaa ya kisiasa.
Kauli hiyo imetolewa na balozi wa amani Tanzania...
10 years ago
Mwananchi12 Sep
Cheyo awavaa Ukawa bungeni
10 years ago
Tanzania Daima15 Nov
UKAWA wasulubu serikali bungeni
SERIKALI imelazimika kuweka kwapani muswada wa sheria ya usimamizi wa kodi wa mwaka huu wa fedha baada ya kushindwa kupata akidi ya theluthi mbili ya wajumbe kutoka Zanzibar ambao wanaunda...
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Mziray: Ukawa rudini bungeni
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Ukawa kupata ‘warithi’ bungeni