Ukawa waombwa kurudi Bungeni
Balozi wa amani Tanzania, Risasi Mwaulanga kiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa habari maelezo leo jijijni Dar es Salaam.
Na Rose Masaka-MAELEZO
UKAWA waombwa kukubali maoni ya watanzania walio wengi ya kuheshimu pesa za walipa kodi kwa kurudi bungeni na kupingana kwa hoja kwani hoja zao zikiwa za huakika hazitapingwa bali kanuni na taratibu zinazoendesha bunge zitafuatwa badala ya kuendelea kulalamika katika majukwaa ya kisiasa.
Kauli hiyo imetolewa na balozi wa amani Tanzania...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 Aug
Maridhiano ni Ukawa kurudi bungeni-Mziray
BARAZA la Vyama vya Siasa, limeshangazwa na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kudai maridhiano wakati bado wanaendelea na mapambano kwa kukataa kurejea katika Bunge Maalumu la Katiba.
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Mwigulu ‘awabembeleza’ Ukawa kurudi bungeni
11 years ago
KwanzaJamii11 Jun
BUNGE LA KATIBA: UKAWA WAGOMA KURUDI BUNGENI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-sehoxXN0Xrg/U_DMdycnCCI/AAAAAAAGAS0/TabylNjI1wM/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
Wazee wa Dar es salaam wawataka UKAWA kurudi Bungeni. Na
11 years ago
Michuzi24 Jul
SI DHAMBI KUTUMIA KATIBA ILIYOPO SASA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO ENDAPO UKAWA WATAGOMA KURUDI BUNGENI - PINDA
Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini .
11 years ago
Habarileo25 Jun
'Ukawa warudi bungeni'
MWENYEKITI wa Chama Cha Kijamii (CCK) na Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Constantine Akitanda amesema juhudi zao walizoanzisha na chama cha NRA, zimelenga kuhakikisha kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wanarejea bungeni.
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://1.bp.blogspot.com/-Wi3fabXv84U/U7La-NKf5DI/AAAAAAAABSg/OD4RIdVY3bI/s72-c/niwemugizi.jpg)
‘UKAWA rudini bungeni’
NA FRANK KIBIKI, IRINGA
BARAZA la Maaskofu Tanzania (TEC), limeitaka serikali kuhakikisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanarejea bungeni bila masharti.
Limesema Bunge Maalumu la Katiba lipo na linaendeshwa kwa mujibu wa sheria hivyo, wajumbe wanapaswa kurejea pindi litakapoanza vikao vyake ili kuutendea haki mchakato wa Katiba Mpya.
![](http://1.bp.blogspot.com/-Wi3fabXv84U/U7La-NKf5DI/AAAAAAAABSg/OD4RIdVY3bI/s1600/niwemugizi.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
UKAWA: Haturudi bungeni
WAJUMBE wa Bunge Maalumu, wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wamesema hawatarudi bungeni na badala yake kuanzia kesho wataanza mikutano ya hadhara nchi nzima kuwaeleza wananchi juu ya hila...
9 years ago
Mtanzania21 Nov
Dk. 30 za sekeseke la Ukawa bungeni
*Zomea zomea yao yawatia joto viongozi
*Waimba Maalim Seif…Maalim Seif…Maalim Seif
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
WABUNGE wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana walichafua hali ya hewa bungeni baada ya kuwazomea baadhi ya viongozi walioongozana na Rais Dk. John Magufuli kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa Bunge la 11.
Tukio hilo la kwanza katika Bunge hilo lililoanza Novemba 17, mwaka huu na kuahirishwa jana hadi Januari 26 mwaka 2016, lilianza jana saa 9:35, zikiwa ni dakika chache...