SI DHAMBI KUTUMIA KATIBA ILIYOPO SASA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO ENDAPO UKAWA WATAGOMA KURUDI BUNGENI - PINDA
Video imepigwa na Dixon Busagaga wa
Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini .
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
KwanzaJamii11 Jun
BUNGE LA KATIBA: UKAWA WAGOMA KURUDI BUNGENI
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Tuvunje Bunge la Katiba tufanye maandalizi mazuri ya chaguzi zijazo
MAMBO yanayotokea sasa hivi kisiasa kusema kweli si alama nzuri ya ustawi wa jamii yetu. Watanzania walikuwa na bahati ya kuandika katiba yao wenyewe lakini bahati mbaya mchakato huo umetekwa na kuvurugwa na wanasiasa...
10 years ago
StarTV15 Feb
TEMCO yateua waangalizi 180 wa muda katika chaguzi zijazo.
Na Grace Semfuko,
Dar es Salaam.
Kamati ya Uangalizi wa Chaguzi Tanzania TEMCO imeanza kuangalia na kupitia mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2015 kwa kuteua timu ya waangalizi 180 wa muda wa uchaguzi huo watakaoangalia zoezi la uandikishaji wa wapiga kura linalotarajia kuanza tarehe 23 mwezi huu.
Kamati hiyo inayoongozwa na Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia Tanzania REDET pia itaangalia mchakato wa upigaji kura ya maoni kuhusu Katiba inayopendekezwa ikiwa ni pamoja na...
10 years ago
Vijimambo06 Nov
VYAMA SITA VISIVYOKUWA NA WABUNGE VYAAMUA KUSHIRIKIANA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/113.jpg)
“Dovutwa amesema vyama hivyo vimeamua kushirikiana kwa sababu vipo vyama vilivyounda kundi lisilokuwa la kisheria linaitwa Ukawa, lakini hakuna sheria inayoturuhusu...
10 years ago
Dewji Blog15 Aug
Ukawa waombwa kurudi Bungeni
Balozi wa amani Tanzania, Risasi Mwaulanga kiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa habari maelezo leo jijijni Dar es Salaam.
Na Rose Masaka-MAELEZO
UKAWA waombwa kukubali maoni ya watanzania walio wengi ya kuheshimu pesa za walipa kodi kwa kurudi bungeni na kupingana kwa hoja kwani hoja zao zikiwa za huakika hazitapingwa bali kanuni na taratibu zinazoendesha bunge zitafuatwa badala ya kuendelea kulalamika katika majukwaa ya kisiasa.
Kauli hiyo imetolewa na balozi wa amani Tanzania...
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Mwigulu ‘awabembeleza’ Ukawa kurudi bungeni
10 years ago
Habarileo20 Aug
Maridhiano ni Ukawa kurudi bungeni-Mziray
BARAZA la Vyama vya Siasa, limeshangazwa na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kudai maridhiano wakati bado wanaendelea na mapambano kwa kukataa kurejea katika Bunge Maalumu la Katiba.
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Watishia kususia chaguzi zote zijazo
BAADHI ya wakazi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, mkoani Pwani, wamesema hawatashiriki kupiga kura katika chaguzi mbalimbali zinazotarajiwa kuanza hivi karibuni endapo jirani zao wa Mtaa wa Vingunguti...
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
Tuwakatae viongozi wabinafsi chaguzi zijazo
KWA kuwa nchi inaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ni vema kila mmoja wetu akijiaandaa kwa ajili ya uchaguzi huo. Uchaguzi huo una umuhimu wake hususan kwa watu wenye...