Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUDIO: “Haturudi kwenye Bunge Maalum la Katiba” — UKAWA

ukawa1

Viongozi wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wakishikana mikono mara baada ya kuongea na waandishi wa habari kutoa tamko la UKAWA kuhusu wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi Bungeni. Kutoka kulia ni Profesa Safari Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi Mosena Nyambabe, Mwenyekiti wan CHADEMA Freeman Mbow, Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi James Mbatia, Katibu Mkuu wa CHADEMA Wilbrod Slaa, Mbunge Sakaya na Julius Mtatiro wakiwa nje ya Makao Makuu ya CUF

Ripoti...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

Michuzi

JK KUUNGURUMA LEO JIONI KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA .

Kweli Urais hauna ubia wala muda ama sehemu ya kuchapa kazi. Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi, kama inavyoonekana hapa  ambako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametulia ndani ya ndege akisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Dodoma  huku  akiifanyia kazi hotuba yake ambayo ataitoa katika Kikao cha Bunge Maalum la Katiba, leo Ijumaa, Machi 21, 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amealikwa kuwa mgeni rasmi na kuhutubia Bunge...

 

11 years ago

Michuzi

MJUMBE MWIGULU NCHEMBA ALIPOCHANGIA KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO

Mhe. Mwigulu Nchemba alivyochangia katika mjadala wa kupigwa  kura za siri ama kura za wazi katika Bunge Maalum la katiba mjini Dodoma leo, na kuleta mtafaruku mkubwa miongoni mwa wajumbe. Hatimaye iibidi aombe radhi na kufuta usemi wake baada ya kutakiwa kufanya hivyo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe Samia Suluhu Hassan.

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA: Haturudi

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umesema licha ya viongozi wa dini kuwataka warejee katika Bunge Maalum la Katiba, hawatafanya hivyo kwakuwa wameonyesha upendeleo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wakizungumza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA: Haturudi bungeni

WAJUMBE  wa Bunge Maalumu, wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wamesema hawatarudi bungeni na badala yake kuanzia kesho wataanza mikutano ya hadhara nchi nzima kuwaeleza wananchi juu ya hila...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani