Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkombozi Benki kusomesha yatima

1

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki Mkombozi Commercial, Edwina Lupembe.

Na Mwandishi wetu

Benki ya Mkombozi nchini imesema kuwa mchango wa kifedha  wanazopata  katika  shughuli za kijamii  umekuwa  wakimafanikio  makubwa  hasa  kupitia  uwekezaji wa sekta ya  elimu  Nchini, kwani  hali  hiyo  inachangia  kwa  kasi  maendeleo  ya Taifa kwa kuwa  na  wataalamu wa Nyanja  mbalimbali wenye  uwezo  mkubwa.

Taasisi  za kifeda  kama  mabenki   wamekuwa ni  wadau  wakubwa  wa mchango  huo,  hivi ...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA KUSOMESHA YATIMA 12



MKUU wa Wilaya  ya Kinondoni,  Paul Makonda (pichani), ameahidi kusomesha watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu 12, ikiwa ni kuwalipia ada  za shule.
Hayo aliyabainisha Dar es Salaam jana wakati  Kampuni ya Simu za mkononi Zantel ikikabidhi kisima cha maji safi katika kituo cha kulea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu cha Watoto Wetu Tanzania kilichopo  Mbezi Suka jijini Dar es Salaam.
Watoto hao 12, ambapo 8 kati yao wana elimu ngazi ya sekondari huku 3 wakitakiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkombozi Benki: Hatuhusiki kutakatisha fedha

Benki ya Biashara ya Mkombozi imesema, haihusiki na utakatishaji fedha zilizoibiwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow Sh306 bilioni

 

10 years ago

Mwananchi

Hisa za Benki ya Mkombozi zapaa sokoni DSE

Benki ya Biashara ya Mkombozi imejiorodhesha kwa mara ya kwanza kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na kupokewa vizuri licha ya kuzungukwa na wingu zito la sakata la ufisadi wa Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Michuzi

Taarifa ya benki ya biashara ya Mkombozi juu ya sakata la Escrow


Utangulizi

Taarifa hii inatolewa kwa umma kutokana na ripoti mbalimbali zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari mitandao ya kijamii na taarifa iliyotolewa kwenye mjadala katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
1. Ufunguzi wa akaunti ya VIP engineering 

and Marketing (VIP)

Kampuni ya VIP engineering and Marketing ni kampuni ambayo imesajiliwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Kampuni hii ilifungua akaunti katika benki ya biashara ya Mkombozi na hivyo kuwa moja kati ya wateja wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKOMBOZI BENKI YASHEREKEA KUTIMIZA MIAKA 5 TOKEA IMEANZISHWA JIJINI DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki Mkombozi Commercial, Edwina Lupembe akiongea na waandishi wa habari waliofika katika hafla ya benki hiyo kufikisha miaka mitano tokea imeanzishwa. Aliongeza kuwa benki hiyo ilianzishwa kwa lengo la kutoa huduma za kibenki sanjari na kushughulika na matatizo ya kiuchumi kwa jamii katika nyanja mbalimbali.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Edwina Lupembe akikazi msisitizo mbaye ya waandishi wa habari.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki Mkombozi Commercial, Edwina...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA MKOMBOZI YATANGAZA MAUZO YA AWALI YA HISA ZAKE,YAWAOMBA WATANZANIA WAJITOKEZE KUZINUNUA

Pichani kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Mkombozi,Bwa Masha J. Mshomba akizungumza mbele ya Wanahabari (hawapo pichani),Mwishoni mwa wiki jijini Dar, kuhusiana na kuwafahamisha Watanzania kuhusu mauzo ya awali ya hisa za benki  yao ya Mkombozi,ikiwemo pia na kuwaomba Watanzania washiriki katika ununuzi wa hisa za Benki hiyo ya Mkombozi,shoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Mkombozi  Bwan. Edwina Lupembe.

 

11 years ago

Michuzi

WAZAZI WAKUMBUKENI WATOTO YATIMA-NBC BENKI

Mkuu wa kituo cha Kulelea watoto yatima cha Msimbazi Centre Sister. Ehienne(kushoto),akipokea moja ya msaada wa katoni ya pambazi kwaajili ya matumizi ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho toka kwa Mkurugenzi Mtendeji wa Benki ya Biashara ya NBC Tanzania,Bi.Mizinga Melu(katikati) Mkurugenzi huyo alikabidhi vitu mbalimbali kama vile mchele ,mafuta na mashine ya kusagia juisi baada ya kuguswa kama mzazi na maisha ya watoto hao wanaolelewa katika kituo hicho,kulia ni Katibu Mhitasi wa...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CBA WASHEREHEKEA PASAKA NA WATOTO YATIMA

Msimamizi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Msimbazi Centre kilichopo jijini Dar es Salaam, Sister Anna Marandu (kulia) akipokea msaada wa chakula na vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto wanaolelewa kituoni hapo kutoka kwa Meneja wa benki ya CBA tawi la  barabara ya Nyerere, Nuru Mwangulangu wakati wafanyakazi wa benki hiyo walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali na kucheza na watoto leo ikiwa ni moja ya shamrashamra...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yawapiga jeki vijana na kuwakumbuka yatima

Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Rukia Mtingwa (kushoto) akitoa elimu kuhusu ujasiriamali na baadhi ya vijana kutoka vyuoni walio katika kambi maalumu iliyoandaliwa na kampuni ya Maa Media kwa udhamini wa NBC mjini Bagamoyo, Pwani hivi karibuni. NBC ilitoa kiasi cha zaidi ya shs milioni 100 ambapo mbali na ujasiriamali vijana hao walifundishwa pia madhara na jinsi ya kuepuka matumizi ya madawa ya kulevya. Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter (kulia),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani