Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYAKAZI WA BENKI YA CBA WASHEREHEKEA PASAKA NA WATOTO YATIMA

Msimamizi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Msimbazi Centre kilichopo jijini Dar es Salaam, Sister Anna Marandu (kulia) akipokea msaada wa chakula na vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto wanaolelewa kituoni hapo kutoka kwa Meneja wa benki ya CBA tawi la  barabara ya Nyerere, Nuru Mwangulangu wakati wafanyakazi wa benki hiyo walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali na kucheza na watoto leo ikiwa ni moja ya shamrashamra...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi Benki ya NMB washerehekea 'Family Day'

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kushoto) akimkabidhi kikombe mmoja wa washindi katika mchezo wa kuogelea kwenye maadhimisho ya Siku ya Familia iliyofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park ya Jijini Dar es Salaam jana. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kushoto) akimkabidhi kikombe mmoja wa washindi katika mchezo wa kuogelea kwenye maadhimisho ya Siku ya Familia iliyofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park ya Jijini Dar es Salaam jana....

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WASHEREHEKEA SIKU YA FAMILIA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa Sherehe za Siku ya Familia iliyofanyika katika hoteli ya Kunduchi.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (wa pili kulia mstari wa nyuma) na Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali Watu wa benki hiyo, Dorah Ngaliga wakiwa katika picha ya pamoja na watoto waliohudhuria tamasha la ‘Family Day’ lililowashirikisha wafanyakazi wa benki hiyo pamoja na familia zao. Tamasha hilo lilifanyika Kunduchi Wet 'N'...

 

5 years ago

Michuzi

Kampuni ya FAMM (AMTL) yawakumbuka watoto yatima sikukuu ya Pasaka

Kampuni ya FAMM (AMTL) ya jijini Dar es salaam, mapema wiki hii ilitembelea Kituo cha Kulelea Watoto wenye uhitaji cha Huruma kilichopo Goba, Jijini Dar rs Salaam na kuwapatia zawadi mbalimbali za Sikukuu ya Pasaka ili na wao waweze kusherekea Sikukuu hiyo, ambapo walikabidhi mahitaji mbalimbali kama mchele, mafuta, sabuni maji n.k.
Aidha, Kampuni ya FAMM (AMTL) ilipeleka vifaa mbalimbali vya kujikinga na Virusi vya Corona ikiwa ni pamoja na Sanitizer na Sabuni na mafunzo mbalimbali ya jinsi...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WASHEREHEKEA MWAKA MPYA NA KITUO CHA WATOTO YATIMA NA WASIO NA MAKAZI MAALUM (CHAKUWAMA) KILICHOPO SINZA

Meneja Masoko wa Mfuko wa GEPF,Bw Aloyce Ntukamazina (shati draft) akimkabidhi Katibu Mtendaji wa Kituo cha kulea Watoto Yatima cha Chakuwama,Bw. Hassan Hamisi msaada wa mahitaji mbali mbali ya chakula kwaaajili ya watoto wa kituo hicho.katikati ni Afisa Masoko Msaidizi wa Mfuko wa GEPF,Bw. Adam Hamza.Katibu Mtendaji wa Kituo cha kulea Watoto Yatima cha Chakuwama,Bw. Hassan Hamisi akipokea moja ya ‘pampers’ maalum kwaajili ya watoto wachanga kutoka kwa Afisa Mafao Mwandamizi wa Mfuko wa...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA‏ WATEMBELEWA WATOTO YATIMA

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na mtoto Pendo Juma(kushoto)anaelelewa katika kituo cha yatima cha Malaika cha Kinondoni jijini Dar es Salaam,wakiwa wamebeba mfuko wa mchele wakati baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho kuwasilisha msaada kwa niaba ya wafanyakazi wenzao ya vitu mbalimbali kama nguo, chakula na vitabu akiongozana nao kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZAZI WAKUMBUKENI WATOTO YATIMA-NBC BENKI

Mkuu wa kituo cha Kulelea watoto yatima cha Msimbazi Centre Sister. Ehienne(kushoto),akipokea moja ya msaada wa katoni ya pambazi kwaajili ya matumizi ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho toka kwa Mkurugenzi Mtendeji wa Benki ya Biashara ya NBC Tanzania,Bi.Mizinga Melu(katikati) Mkurugenzi huyo alikabidhi vitu mbalimbali kama vile mchele ,mafuta na mashine ya kusagia juisi baada ya kuguswa kama mzazi na maisha ya watoto hao wanaolelewa katika kituo hicho,kulia ni Katibu Mhitasi wa...

 

11 years ago

GPL

WAZAZI WAKUMBUKENI WATOTO YATIMA - BENKI‏ YA NBC

Mkuu wa kituo cha Kulelea watoto yatima cha Msimbazi Centre Sister Ehienne (kushoto), akipokea moja ya msaada wa katoni ya pambasi kwa ajili ya matumizi ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho toka kwa Mkurugenzi  Mtendeji wa Benki ya Biashara ya NBC  Tanzania, Bi. Mizinga Melu (katikati) Mkurugenzi huyo alikabidhi vitu mbalimbali kama vile mchele, mafuta na mashine ya kusagia juisi baada ya kuguswa kama mzazi na maisha...

 

9 years ago

Michuzi

GEPF WASHEREHEKEA MWAKA MPYA KWA KUTOA MSAADA WA KITUO CHA WATOTO YATIMA KIJIJI CHA FURAHA KILICHOPO MBWENI JIJINI DAR

Mkuu wa kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akimkabidhi mlezi wa kituo hicho Sr Restituta Kijja sehemu ya msaada huo. Meneja Mafao wa Mfuko wa GEPF Bi Salma Mtaulah nae akimkabidhi Mlezi wa kituo mafuta ya kupikia.maafisa wa GEPF pamoja na mlezi wa kituo wakifurahia jambo na watoto wa kijiji cha Furaha kilichopo Mbweni.baadhi ya watoto wa kituo hicho wakiwa katika picha ya pamoja kwa furaha baada ya kukabidhiwa msaada wa vyakula na Mfuko wa GEPF.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani