Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ya FAMM (AMTL) yawakumbuka watoto yatima sikukuu ya Pasaka

Kampuni ya FAMM (AMTL) ya jijini Dar es salaam, mapema wiki hii ilitembelea Kituo cha Kulelea Watoto wenye uhitaji cha Huruma kilichopo Goba, Jijini Dar rs Salaam na kuwapatia zawadi mbalimbali za Sikukuu ya Pasaka ili na wao waweze kusherekea Sikukuu hiyo, ambapo walikabidhi mahitaji mbalimbali kama mchele, mafuta, sabuni maji n.k.
Aidha, Kampuni ya FAMM (AMTL) ilipeleka vifaa mbalimbali vya kujikinga na Virusi vya Corona ikiwa ni pamoja na Sanitizer na Sabuni na mafunzo mbalimbali ya jinsi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TTCL yawakumbuka yatima Sikukuu ya Pasaka

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaada wa vyakula kwa vituo vitatu vya watoto yatima wakati wa Sikukuu ya Pasaka. Akikabidhi msaada huo juzi, Mkuu wa Biashara wa kampuni hiyo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kuelekea maandalizi ya sikukuu ya X-Mass PSPF yawakumbuka watoto yatima wa kituo cha Amani

46

Kushoto ni Meneja wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka  akiwa na Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani wakiwakabidhi zawadi ya Mbuzi  kwa ajilli ya Krismasi watoto wa kituo cha kulelea yatima cha Amani Orphanage Centre.

40

Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani akimkabidhi zawadi ya vinywaji mmoja wa watoto katika kituo hicho.

44

Meneja wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka akimkabidhi mmoja wa watoto msaada wa mafuta ya kupikia kwa niaba ya watoto wenzake walipo watembelea katika kituo chao...

 

5 years ago

Michuzi

TECNO Yawakumbuka Watoto Yatima


Tukiwa katika mwanzo wa muhula wa kwanza  wa masomo, kampuni ya simu za mkononi  ya TECNO, imetoa  msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Chanika Children Shelter kilichopo Chanika Jijini Dar es Salaam ili kuwawezesha kurudi mashuleni.Msaada huo ukiwemo wa ada kiasi cha Shilingi Milioni tatu, vifaa vya masomo, Chakula  na mahitaji mengine ya kila siku umetolewa mwishoni mwa wiki.
Akizungumza wakati wa kutoa msaada huo Afisa Uhusiano wa kampuni ya TECNO Eric Mkomoye alisema...

 

10 years ago

Michuzi

DAWASCO YAWAKUMBUKA WATOTO YATIMA DAR

Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam limetoa misaada ya kibinadamu kwa watoto yatima wa kituo cha Msimbazi centre ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Maji yaliyoanza mapema tarehe 16 na kufika kilele 22 machi mwaka huu.
Akiongea na vyombo vya habari, Afisa Uhusiano wa DAWASCO, Bi Everlasting Lyaro alisema msaada huu ni sehemu ya jamii wanayotoa huduma hiyo kila siku.
“sisi kama DAWASCO tumeguswa na mahitaji ya watoto hawa na kama sehemu ya Jamii na katika kuadhimisha wiki ya Maji tumeona...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM FOUNDATION YAWAKUMBUKA WAZEE WA BUKUMBI NA WATOTO YATIMA WA VILLAGE OF HOPE JIJINI MWANZA

 Baadhi ya wazee wanaotunzwa katika kituo cha Elders, Kilichopo Bukumbi Mkoa wa Mwanza wakitafakari baada ya kukabidhiwa misaada ya magodoro na vyakula mbalimbali na Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa,Ikiwa ni utekelezaji wa kutoa misaada mbalimbali kwa wahitaji kupitia mfuko wa kusaidia jamii wa kampuni hiyo”Vodacom Foundation” kwa ajili ya sikukuu za Chrismasi na Mwaka mpya,kupitia progamu yake ya Pamoja na Vodacom inayofanyika kila mwaka wakati wa msimu wa sikukuu. Msaada huo...

 

11 years ago

GPL

WATOTO WALIVYOJIACHIA NA PROFESA CALABASH DAR LIVE SIKUKUU YA PASAKA

Mwanamazingaombwe Profesa Calabash baada ya kumchinja kuku tayari kwa kumpika bila kutumia moto. Profesa Calabash akimnyonyoa kuku kwa ajili ya kumpika bila kutumia moto.…

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CBA WASHEREHEKEA PASAKA NA WATOTO YATIMA

Msimamizi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Msimbazi Centre kilichopo jijini Dar es Salaam, Sister Anna Marandu (kulia) akipokea msaada wa chakula na vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto wanaolelewa kituoni hapo kutoka kwa Meneja wa benki ya CBA tawi la  barabara ya Nyerere, Nuru Mwangulangu wakati wafanyakazi wa benki hiyo walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali na kucheza na watoto leo ikiwa ni moja ya shamrashamra...

 

11 years ago

GPL

WATOTO WALIVYOJIACHIA NA PROFESA CALABASH NDANI YA DAR LIVE SIKUKUU YA PASAKA

Watoto wakijiachia kwa burudani mbalimbali ndani ya Dar Live katika Sikukuu ya Pasaka Aprili 20, 2014. Burudani hizo zilikuwa zikiongozwa na Profesa Calabash aliyewaburudisha kwa michezo kibao bila kusahau…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani