DAWASCO YAWAKUMBUKA WATOTO YATIMA DAR
Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam limetoa misaada ya kibinadamu kwa watoto yatima wa kituo cha Msimbazi centre ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Maji yaliyoanza mapema tarehe 16 na kufika kilele 22 machi mwaka huu.
Akiongea na vyombo vya habari, Afisa Uhusiano wa DAWASCO, Bi Everlasting Lyaro alisema msaada huu ni sehemu ya jamii wanayotoa huduma hiyo kila siku.
“sisi kama DAWASCO tumeguswa na mahitaji ya watoto hawa na kama sehemu ya Jamii na katika kuadhimisha wiki ya Maji tumeona...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTECNO Yawakumbuka Watoto Yatima
Tukiwa katika mwanzo wa muhula wa kwanza wa masomo, kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Chanika Children Shelter kilichopo Chanika Jijini Dar es Salaam ili kuwawezesha kurudi mashuleni.Msaada huo ukiwemo wa ada kiasi cha Shilingi Milioni tatu, vifaa vya masomo, Chakula na mahitaji mengine ya kila siku umetolewa mwishoni mwa wiki.
Akizungumza wakati wa kutoa msaada huo Afisa Uhusiano wa kampuni ya TECNO Eric Mkomoye alisema...
5 years ago
MichuziKampuni ya FAMM (AMTL) yawakumbuka watoto yatima sikukuu ya Pasaka
Aidha, Kampuni ya FAMM (AMTL) ilipeleka vifaa mbalimbali vya kujikinga na Virusi vya Corona ikiwa ni pamoja na Sanitizer na Sabuni na mafunzo mbalimbali ya jinsi...
10 years ago
Dewji Blog07 Dec
Kuelekea maandalizi ya sikukuu ya X-Mass PSPF yawakumbuka watoto yatima wa kituo cha Amani
Kushoto ni Meneja wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka akiwa na Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani wakiwakabidhi zawadi ya Mbuzi kwa ajilli ya Krismasi watoto wa kituo cha kulelea yatima cha Amani Orphanage Centre.
Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani akimkabidhi zawadi ya vinywaji mmoja wa watoto katika kituo hicho.
Meneja wa Pwani wa PSPF Msafiri S. Mugaka akimkabidhi mmoja wa watoto msaada wa mafuta ya kupikia kwa niaba ya watoto wenzake walipo watembelea katika kituo chao...
9 years ago
MichuziVODACOM FOUNDATION YAWAKUMBUKA WAZEE WA BUKUMBI NA WATOTO YATIMA WA VILLAGE OF HOPE JIJINI MWANZA
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
TTCL yawakumbuka yatima Sikukuu ya Pasaka
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa msaada wa vyakula kwa vituo vitatu vya watoto yatima wakati wa Sikukuu ya Pasaka. Akikabidhi msaada huo juzi, Mkuu wa Biashara wa kampuni hiyo...
10 years ago
Mtanzania25 Mar
Dawasco yatoa msaada kwa yatima
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SHIRIKA la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) limetoa misaada ya kibinadamu kwa watoto yatima wa kituo cha Msimbazi Centre, ikiwa ni moja ya sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Maji yaliyoanza Machi 16- 22.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Dawasco, Everlasting Lyaro, alisema msaada huo ni sehemu ya jamii wanayotoa huduma hiyo kila siku.
“Sisi kama Dawasco tumeguswa na mahitaji ya watoto hawa na kama sehemu...
10 years ago
MichuziJK awaandalia Futari Watoto Yatima Ikulu Dar es salaam
10 years ago
Habarileo11 Jan
Tanesco yatoa msaada kwa watoto yatima Dar
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa misaada ya vitu mbalimbali na kupata chakula cha mchana na watoto yatima wanaolelewa kwenye kituo cha Chakuwama kilichopo Sinza, Dar es Salaam.
10 years ago
GPLODAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YAKE NA WATOTO YATIMA MAUNGA, DAR