Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ODAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YAKE NA WATOTO YATIMA MAUNGA, DAR

Odama akimlisha keki mmoja wa watoto yatima.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MTANGAZAJI ‘B 12’ ASHEREHEKEA ‘BETHIDEI ‘ YAKE NA YATIMA SINZA, DAR

  Mmoja wa watoto yatima akiwa amebebwa na Shilole huku akimlisha keki B12.     Bob Junior akilishwa keki.   Ni zamu ya…

 

10 years ago

GPL

WEMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YAKE KWA MITUNGI

Staa wa filamu Bongo ambaye ni Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu akisherehekea bethidei yake Septemba 28, 2014 nyumbani kwake Kijitonyama, Dar!

 

10 years ago

GPL

WASTARA ASHEREHEKEA ‘BETHIDEI’ YAKE KWA SHAMRA KIBAO

Keki iliyoandaliwa kwa ajili ya Wastara. Meneja wa Wastara, Bondi Bin Sinan, akimpa zawadi ya kuzaliwa kwake. Wastara akiwa na mwanaye wa pili aitwaye Farees.…

 

10 years ago

GPL

MUSA MATEJA ASHEREHEKEA 'BETHIDEI' YAKE NA WAFANYAKAZI WANZAKE GLOBAL

Musa Mateja (kushoto) akilishwa keki na Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia). ...Akimlisha keki Abdallah Mrisho.…

 

10 years ago

GPL

LAWRENCE KABENDE ASHEREHEKEA 'BETHIDEI' YAKE NA WAFANYAKAZI WANZAKE GLOBAL

Mkuu wa kitengo cha Uhasibu Global, Lawrence Kabende, akikata keki ya 'bethidei' yake ofisini. Mfanyakazi wa Global, Davina Lema, akimlisha keki 'mzaliwa' Lawrence.…

 

10 years ago

Michuzi

UJAMAA INTELLECTUALS NETWORK WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA YATIMA CHA MAUNGA CENTRE JIJINI DAR ES SALAAM

  Mwasisi na Mratibu Mkuu wa Kikundi cha Ujamaa Intellectuals Network Bw. Lusekelo Mwandemange akikabidhi msaada kwa Bi. Zainab Bakary Maunga wa kituo cha kulelea yatima cha Maunga Centre.Bi. Mwajuma Njaritta  kutoka kikundi cha Ujamaa Intellectuals Network akimkabidhi mmoja wa watoto Msaada wa vitabu kwa niaba ya watoto wengine katika kituo cha kulelea yatima cha Maunga Centre.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI

MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: ‘Bethidei Pati’ ya Mtoto wa Odama Kama Harusi!

Staa mrembo wa Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefanya kufuru ya aina yake baada ya kumwandalia mwanaye, Janson bonge la sherehe ya kuzaliwa (bethidei), aliyekuwa akitimiza mwaka mmoja iliyokuwa kama harusi.

Pati hiyo iliyohudhuriwa na mastaa kibwena Bongo ilichukua nafasi kwenye Ukumbi wa Msasani Beach, Kinondoni jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo shughuli nzima ilikuwa imeandaliwa kama harusi ambapo kwa mujibu wa waandaaji iliteketeza mamilioni ya shilingi yanayodaiwa kumwagwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani