Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YAKE KWA MITUNGI

Staa wa filamu Bongo ambaye ni Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu akisherehekea bethidei yake Septemba 28, 2014 nyumbani kwake Kijitonyama, Dar!

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASTARA ASHEREHEKEA ‘BETHIDEI’ YAKE KWA SHAMRA KIBAO

Keki iliyoandaliwa kwa ajili ya Wastara. Meneja wa Wastara, Bondi Bin Sinan, akimpa zawadi ya kuzaliwa kwake. Wastara akiwa na mwanaye wa pili aitwaye Farees.…

 

10 years ago

GPL

ODAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YAKE NA WATOTO YATIMA MAUNGA, DAR

Odama akimlisha keki mmoja wa watoto yatima.…

 

10 years ago

GPL

MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI

MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...

 

10 years ago

GPL

MUSA MATEJA ASHEREHEKEA 'BETHIDEI' YAKE NA WAFANYAKAZI WANZAKE GLOBAL

Musa Mateja (kushoto) akilishwa keki na Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia). ...Akimlisha keki Abdallah Mrisho.…

 

10 years ago

GPL

LAWRENCE KABENDE ASHEREHEKEA 'BETHIDEI' YAKE NA WAFANYAKAZI WANZAKE GLOBAL

Mkuu wa kitengo cha Uhasibu Global, Lawrence Kabende, akikata keki ya 'bethidei' yake ofisini. Mfanyakazi wa Global, Davina Lema, akimlisha keki 'mzaliwa' Lawrence.…

 

11 years ago

GPL

MTANGAZAJI ‘B 12’ ASHEREHEKEA ‘BETHIDEI ‘ YAKE NA YATIMA SINZA, DAR

  Mmoja wa watoto yatima akiwa amebebwa na Shilole huku akimlisha keki B12.     Bob Junior akilishwa keki.   Ni zamu ya…

 

10 years ago

Vijimambo

JOSE ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA STAILI YA PEKEE

Jose akijaribu kupuliza mshumaa alipokua akisherehekea siku yake ya kuzaliwa nyumbani kwake siku ya Jumamosi Novemba 29, 2014 DMV na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.Jose akimlisha keki mama mwenye nyumba wake.Mama mwenye nyumba amkulisha keki JoseMdhamini wa pendo lake Jose akimchum huku akmpa zawadi yake. Aunty Asha akimzawadia Jose. Ni zawadi juu ya zawadiZawadi zikiendelea.
Zawadi hizo kwa Jose.Picha zaote na mwakilishi wa Vijimambo Maryland Aloyce Mbullu
kwa mapicha ya kumwaga...

 

10 years ago

Vijimambo

MTANZANIA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA

Mtanzania Joyce Rwehumbiza anayeishi Maryland nchini Marekani siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 alisherehekea siku yake ya kuzliwa ya kufikisha miaka 40 kwa kutangaza utalii wa Tanzania huku akichangisha fedha kwa bahati nasibu ya kuuza tiketi kwa lengo la kusaidia Tanzania na huku akionyesha video za uzuri wa mbuga zetu ikiwemo Zanzibar.Vitu mbalimbali viliuzwa kwa lengo la kutoa msaada kwa wasiojiweza Tanzania.Joyce Rwehumbiza akiongea machache na kutoa shukurani kwa wahudhuriaji kwenye...

 

11 years ago

GPL

SAKINA WA GLOBAL AADHIMISHA ‘BETHIDEI’ YAKE KWA SHANGWE

Sakina akijiandaa kuwalisha keki baadhi ya wafanyakazi wenzake. ‘Mtoto aliyezaliwa’, Sakina, akimimina juisi kwa wafanyakazi wenzake.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani