Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taarifa ya benki ya biashara ya Mkombozi juu ya sakata la Escrow


Utangulizi

Taarifa hii inatolewa kwa umma kutokana na ripoti mbalimbali zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari mitandao ya kijamii na taarifa iliyotolewa kwenye mjadala katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
1. Ufunguzi wa akaunti ya VIP engineering 

and Marketing (VIP)

Kampuni ya VIP engineering and Marketing ni kampuni ambayo imesajiliwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Kampuni hii ilifungua akaunti katika benki ya biashara ya Mkombozi na hivyo kuwa moja kati ya wateja wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

GPL

SOMA TAARIFA YA PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo. TAARIFA YA WAZIRI WA NISHANI NA MADINI PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO BONYEZA HAPA…

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YATOA TAARIFA YA TUME KUKAMILISHA KAZI YA UCHUNGUZI DHIDI YA MASWI KUHUSIKA NA SAKATA LA ESCROW NA ILE YA OPERESHENI TOKOMEZA

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akisoma taarifa ya kukamilika kwa uchunguzi dhidi ya aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakimu Maswi kuhusu kuhusika kwake na kashfa ya Escrow na ile ya tume ya uchunguzi wa malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa operesheni tokomeza mapema hii leo jijini Dar es Salaam , kulia niMwandishi wa Habari Msaidizi wa Rais Bi. Premi Kibanga.

 

10 years ago

Michuzi

BENKI KUU YATOA TAARIFA KUHUSU upotoshaji unaoendelea juu ya Sarafu ya sh. 500/=

Asilimia 94 ya madini katika sarafu ya sh. 500 ni chuma na asilimia 6 ni Nickel, ameeleza Mkurugenzi wa Huduma za Kibenki katika Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Marcian Kobello. 
Pia ndivyo ilivyoelezwa wakati wa uzinduzi wa sarafu hii mnamo mwezi Septemba mwaka jana kabla haijaingizwa katika mzunguko mwezi Oktoba 2014. 
Bw. Kobello amesema hadi sasa sarafu zenye thamani ya sh. 1,162,000,000/- zimekwishasambazwa kote nchini na kwamba kuna kiasi cha kutosha cha sarafu hiyo endapo itahitajika.
“Hakuna...

 

10 years ago

TheCitizen

Escrow scam eats into Mkombozi Bank IPO

>The Initial Public Offering (IPO) issued by Mkombozi Commercial Bank last month has been undersubscribed by 25 per cent as the bank is expected to list on the Dar es Salaam Stock Exchange next week.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkombozi Benki kusomesha yatima

1

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki Mkombozi Commercial, Edwina Lupembe.

Na Mwandishi wetu

Benki ya Mkombozi nchini imesema kuwa mchango wa kifedha  wanazopata  katika  shughuli za kijamii  umekuwa  wakimafanikio  makubwa  hasa  kupitia  uwekezaji wa sekta ya  elimu  Nchini, kwani  hali  hiyo  inachangia  kwa  kasi  maendeleo  ya Taifa kwa kuwa  na  wataalamu wa Nyanja  mbalimbali wenye  uwezo  mkubwa.

Taasisi  za kifeda  kama  mabenki   wamekuwa ni  wadau  wakubwa  wa mchango  huo,  hivi ...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkombozi Benki: Hatuhusiki kutakatisha fedha

Benki ya Biashara ya Mkombozi imesema, haihusiki na utakatishaji fedha zilizoibiwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow Sh306 bilioni

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW ILIYOKUWA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA

TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW ILIYOKUWA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA

View this document on Scribd

 

10 years ago

Mwananchi

Hisa za Benki ya Mkombozi zapaa sokoni DSE

Benki ya Biashara ya Mkombozi imejiorodhesha kwa mara ya kwanza kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na kupokewa vizuri licha ya kuzungukwa na wingu zito la sakata la ufisadi wa Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani