Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhamiaji yamwaga ajira kindugu

IDARA ya Uhamiaji imekumbwa na kashfa nyingine ya kuajiri watoto na ndugu wa vigogo wa idara hiyo. Hayo yalibainika baada ya idara hiyo kutoa matangazo katika vyombo mbalimbali vya habari...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ajira za kindugu Uhamiaji moto

SIKU moja baada ya gazeti hili kuripoti kashfa ya Uhamiaji kudaiwa kutoa ajira kwa kuwapendelea watoto na ndugu wa vigogo wa idara hiyo, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi...

 

10 years ago

Vijimambo

Waliogawa ajira kindugu Uhamiaji walindwa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil.
Serikali imeshindwa kuwachukulia hatua watumishi wa Idara ya Uhamiaji nchini waliohusika na ajira 200 za upendeleo kwa nafasi ya Konstebo na Koplo, licha ya kamati ya uchunguzi iliyoundwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, kubaini kashfa hiyo.

Katika uchunguzi wake, kamati hiyo ilibaini kuwa walioitwa katika ajira hizo walikuwa ni ndugu na jamaa za maafisa wa idara hiyo.

Hata hivyo, akizungumza na NIPASHE jijini Dar es...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Zanchick yamwaga ajira Zanzibar

ZAIDI ya Wazanzibari 300 wamepata ajira katika Kampuni ya Zanchick, inayojishughulisha na uingizaji malighafi ya nyama ya kuku Zanzibar kutoka Marekani. Akizungumza na Waandishi wa Habari waliotembelea kampuni hiyo hivi...

 

5 years ago

CCM Blog

10 years ago

Habarileo

Kampuni ya simu yamwaga ajira 2,000

KAMPUNI ya simu ya Viettel ya Vietnam inayokua kwa kasi duniani ambayo sasa inahamishia nguvu zake katika soko la Tanzania, imetangaza ajira kwa wasomi wa Tanzania zaidi ya 2,000.

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YAMWAGA AJIRA KKWA MADAKTARI 610


Charles James, Michuzi TV
SERIKALI imewataka Madaktari wapya 610 ambao wameajiriwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi walivyopangiwa kuanzia Mei 11 hadi 25 Mwaka huu wakiwa na nyaraka zao zote muhimu.
Agizo hilo limetolewa leo jijini Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo wakati akitangaza ajira hizo za madaktari kwa Hospitali za Wilaya, Vituo vya Afya na Zahanati nchini.
Tangazo la ajira za madaktari hao zilitolewa Machi mwaka huu ambayo mchakato wa kuwapata ulifanyika...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA BENJAMIN MKAPA YAMWAGA AJIRA 307 ZA WATUMISHI WA AFYA.




Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akieleza jambo wakati wa kikao na Waandishi wa habari, kilichofanyika Jinjini Dodoma.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na Waandishi wa habari.

Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya Benjamin Mkapa Dkt. Ellen Mkondya akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari, katika Mkutano ulioongozwa na Waziri wa Afya leo Jijini Dodoma.



Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAMWAGA AJIRA 610 ZA MADAKTARI, WAKURUGENZI WAONYWA KUWABADILISHIA VITUO

Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imewataka Madaktari wapya 610 ambao wameajiriwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi walivyopangiwa kuanzia Mei 11 hadi 25 Mwaka huu wakiwa na nyaraka zao zote muhimu.

Agizo hilo limetolewa leo jijini Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo wakati akitangaza ajira hizo za madaktari kwa Hospitali za Wilaya, Vituo vya Afya na Zahanati nchini.

Tangazo la ajira za madaktari hao zilitolewa Machi mwaka huu ambayo mchakato wa kuwapata ulifanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani