Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SUA ya kwanza duniani kugundua chanjo ya kuku

WAFUGAJI wa kuku nchini wataanza kupata neema ya kupata dawa ya mifugo yao kwa bei rahisi, baada ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kugundua chanjo ya kwanza ya kuku duniani dhidi ya ugonjwa wa ndui.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Ni nani aliyetoa fursa ya kwanza ya chanjo ya tiba duniani?

Kusaga makaratasi na kudunga watoto usaa zilikua ni sehemu za historia ya chanjo alizotumia Dkt. Muingereza Edward Jenner ilinusuru maisha ya mamilioni ya watu.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania inavyopania kugundua chanjo dhidi ya ugonjwa wa malaria

>Kama ulidhani simba ni hatari,  nyoka na wanyama wengine wakali wa mwituni basi umekosea kwani mdudu mdogo ambaye unaweza kumuua  kwa vidole vyako aweza akawa hatari wanyama mwitu waogopwao kama vile simba, chui, nyati na nyoka. Mdudu huyo si mwingine bali ni mbu.

 

11 years ago

Mwananchi

UTAFITI: Mtanzania agundua chanjo ya ndui ya kuku

>Tanzania imeingia katika vitabu vya kihistoria ya tiba baada ya Profesa Philemon Wambura kugundua chanjo ya ugonjwa wa ndui kwa kuku ambayo imetambuliwa kimataifa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Zanchick watoa msaada wa chanjo 600,000 kwa wafugaji kuku Zanzibar

IMG_6448

Mkurugenzi wa Kampuni inayojishughulisha na uboreshaji wa kuku Zanzibar(Zanchick) Bw.Issa Khasim Issa akikabidhi chanjo 600,000 zenye thamani ya Tshs 9,000,000 kwa  Naibu katibu katika kitengo cha kutoa huduma kwa wanyama kutoka Wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Dr.Omar Ali Amir kwa  ajili ya kuwalinda kuku na ugonjwa wa Mdondo,  anayeshuhudia kulia Mkurugenzi katika kitengo cha kutoa huduma kwa wanyama kutoka Wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Dr.Yusuf Hajj Khamis.

Kampuni...

 

10 years ago

Michuzi

Zanchick watoa msaada wa chanjo 600,000 kwa wafugaji kuku Zanzibar

Kampuni inayojishughulisha na uboreshaji wa kuku Zanzibar, Zanchick, leo imetoa chanjo 600,000 zilizo na thamani ya Tshs 9,000,000 kwa wafugaji kuku kwa ajili ya kuwalinda kuku wao na ugonjwa wa Mdondo. Utoaji wa chanjo hizo ulifanyika kwa msaada wa wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar ambao wata ratibu na kusimamia zoezi zima.
Meneja wa Uendeshaji, kutoka Zanchick, Bwana Christopher Kontonasios alisema: “Tunashukuru Wizara ya Ufugaji na Uvuvi kwa kuwa washiriki wakubwa katika ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Jaribio la kwanza la chanjo dhidi ya virusi vya corona laanza Ulaya

Chanjo hii imetetengenezwa katika Chuo Kikuu cha Oxford, kuna matumaini ya kufanikiwa kwa chanjo hii?

 

5 years ago

Michuzi

Mtu wa kwanza ajitolea kufanyiwa chanjo ya virusi vya corona Marekani

Binadamu wa kwanza kufanyiwa jaribio ya chanjo ya kinga dhidi ya virusi vya corona ameanza kufanyiwa jaribio hilo nchini Marekani.

Wagonjwa wanne walidungwa sindano ya virusi katika kituo cha utafiti Kaiser Permanente mjini Seattle, Washington, limeripoti shirika la habari la Associated Press.

Chanjo hiyo haiwezi kusababisha Covid-19 lakini ina jeni la virusi ambavyo vinaweza kusababisha ugonjwa.

Wataalamu wanasema itachukua miezi mingi kujua ikiwa chanjo hii, au utafiti mwingine,...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA WIKI YA CHANJO DUNIANI MKOANI KILIMANJARO

Mama Salma Kikwete akiandaa kuzinmdua utoaji wa chanjo kwa mtoto katika sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani uliofanyika katika viwanja vya Mandela mjini Moshi. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa chanjo ya matone kwa mtoto Ahmad Saleh kuashiria uzinduzi rasmi wa wiki ya chanjo duniani katika sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani uliofanyika katika viwanja vya mandela mjini Moshi.
Kwa  picha zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mtu wa kwanza ajitolea kufanyiwa chanjo ya virusi vya corona Marekani

Kikundi cha vijana wenye afya nzuri mjini Seattle wamedungwa virusi kwa ajili ya kufanyiwa utafiti wa chanjo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani