Mahabusu ya watoto Tanga kupatiwa fedha
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Serikali imetenga fedha zitagawiwa kwenye vituo vyote vinavyotoa ushauri nasaha na kurekebisha watoto walio chini ya umri wa miaka 18 vilivyo chini ya Idara ya Ustawi wa jamii nchini.
Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Nsachris Mwamwaja kufuatia habari iliyochapishwa na gazeti la Majira toleo Na. 7524 Vol.II/5624 la Jumatano Agosti 13, mwaka huu yenye kichwa cha habari “Mahabusu ya watoto yadaiwa mil. 1/=”.
“Ni kweli tatizo hilo lipo...
Michuzi