Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahabusu ya watoto yakosa maji

MAHABUSU ya watoto mkoani Tanga haina huduma ya maji, jambo ambalo huenda likachangia kuwepo kwa magonjwa ya mlipuko na kuhatarisha maisha ya watoto waliopo katika mahabusu hiyo. Akizungumza na gazeti hili,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mahabusu ya watoto Tanga haina maji safi

WATOTO wanaotumika adhabu za vifungo katika  mahabusu ya watoto Barabara ya 16 Tanga, wapo hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na ukosefu wa huduma ya maji safi kwa zaidi ya...

 

11 years ago

GPL

MAHABUSU YA WATOTO YAPATA MSAADA WA KIFAA CHA KUSAFISHA MAJI SAFI NA SALAMA

Kamishna wa Ustawi wa Jamii,Bw. Dunford Makalla akikata utepe kuashiria ufunguzi wa mtambo mpya wa kusafishia maji safi na salama katika Mahabusu ya Watoto iliyopo Upanga,jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni wafanyakazi wa Kampuni ya Davis&Shirtliff. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya DAVIS & SHIRTLIFF, Bw. Benjamin Munyao akimuonyesha Kamishna Wa Ustawi wa Jamii, Bw.… ...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WATOTO YATIMA ,MAHABUSU YA WATOTO PAMOJA NA WAZEE WASIOJIWEZA

Watawa wa kituo cha kulea watoto yatima cha Mburahati wakipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla iliyofanyika leo katika Mahabusu ya Watoto Jijini Dar es Salaam. Mwakilishi wa Kituo cha Darul Alqam, Shaban Mohamed akipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla...

 

11 years ago

Michuzi

Mahabusu ya watoto Tanga kupatiwa fedha

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Serikali imetenga fedha zitagawiwa kwenye vituo vyote vinavyotoa ushauri nasaha na kurekebisha watoto walio chini ya umri wa miaka 18 vilivyo chini ya Idara ya Ustawi wa jamii nchini.
Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii  Nsachris Mwamwaja kufuatia habari iliyochapishwa na gazeti la Majira toleo Na. 7524 Vol.II/5624 la Jumatano Agosti 13, mwaka huu yenye kichwa cha habari “Mahabusu ya watoto yadaiwa mil. 1/=”.
“Ni kweli tatizo hilo lipo...

 

10 years ago

Michuzi

JK AWAPA ZAWADI YA IDD MAHABUSU YA WATOTO ARUSHA

Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha,Addoh Mapunda(wa pili kulia)kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi za Idd el Hajj Meneja wa Mahabusu ya Watoto mkoa wa Arusha,Mussa Mapua leo kwa ajili ya kusherekea siku kuu hiyo leo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Kikwete ametoa zawadi mbalimbali katika Mahabusu ya watoto walikinzana na sheria iliyopo jijini ArushaAkikabidhi zawadi hizo kwa niaba ya Rais Kikwete,Katibu Tawala wa mkoa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete awakumbuka watoto mahabusu Arusha



Na Mussa Juma, Mwananchi
Atoa mbuzi wawili kwa ajili ya kushereheka Pasaka
Arusha. Rais Jakaya Kikwete ametoa msaada wa mbuzi wawili, chakula na mafuta kwa watoto waliopo mahabusu mkoani hapa ili kusheherehea Sikukuu ya Pasaka.Akikabidhi msaada huo, Ofisa Maendeleo ya Jamii Sekretarieti ya Mkoa wa Arusha, Thabita Matiko alisema juzi kuwa vitu vyote hivyo vina thamani ya Sh400,000.

Alisema watoto hao wanapaswa kusherehekea Pasaka kama wengine wanaoishi na wazazi wao.

Wakati huohuo, Ofisa Ustawi...

 

10 years ago

Mwananchi

FURAHA YA SIKUKUU: Rais Kikwete awakumbuka watoto mahabusu Arusha

>Rais Jakaya Kikwete ametoa msaada wa mbuzi wawili, chakula na mafuta kwa watoto waliopo mahabusu mkoani hapa ili kusheherehea Sikukuu ya Pasaka.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete awapa zawadi ya Idd mahabusu ya watoto Arusha

jk 1

Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha, Addoh Mapunda (wa pili kulia)kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi za Idd el Hajj Meneja wa Mahabusu ya Watoto mkoa wa Arusha, Mussa Mapua jana kwa ajili ya kusherekea siku kuu hiyo leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Kikwete ametoa zawadi mbalimbali katika Mahabusu ya watoto walikinzana na sheria iliyopo jijini Arusha.

Akikabidhi zawadi hizo kwa niaba ya Rais Kikwete,Katibu Tawala wa mkoa wa...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA LASITISHA KUTEMBELEWA KWA WAFUNGWA NA MAHABUSU GEREZANI, MAHABUSU WAPYA KUPOKELEWA KWA KUHAKIKI AFYA ZAO

Na Avila Kakingo, Globu ya JamiiMAHABUSU wapya kupokelewa Gerezani mara baada ya kufanyiwa vipimo vya afya zao hii ni kufuatia kwa kuripotiwa kwa uwepo wa ugonjwa wa Corona (Covid-19) nchini.
Akizungumza na MICHUZI BLOG, Msemaji wa jeshi la magereza SSP. Amina Kavirondo amesema kuwa baada ya kupimwa mahabusu wapya na kujiridhisha kuwa wako salama kwa maana hata polisi nao watakuwa wamechukuwa hatua kwa mahabusu hao.
"Na sisi watakapofika kwenye himaya ya kwetu tutachukua hatua ya kuhakikisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani