Rais Kikwete awakumbuka watoto mahabusu Arusha
Na Mussa Juma, Mwananchi
Atoa mbuzi wawili kwa ajili ya kushereheka Pasaka
Arusha. Rais Jakaya Kikwete ametoa msaada wa mbuzi wawili, chakula na mafuta kwa watoto waliopo mahabusu mkoani hapa ili kusheherehea Sikukuu ya Pasaka.Akikabidhi msaada huo, Ofisa Maendeleo ya Jamii Sekretarieti ya Mkoa wa Arusha, Thabita Matiko alisema juzi kuwa vitu vyote hivyo vina thamani ya Sh400,000.
Alisema watoto hao wanapaswa kusherehekea Pasaka kama wengine wanaoishi na wazazi wao.
Wakati huohuo, Ofisa Ustawi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Apr
FURAHA YA SIKUKUU: Rais Kikwete awakumbuka watoto mahabusu Arusha
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Rais Jakaya Kikwete awapa zawadi ya Idd mahabusu ya watoto Arusha
Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha, Addoh Mapunda (wa pili kulia)kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi za Idd el Hajj Meneja wa Mahabusu ya Watoto mkoa wa Arusha, Mussa Mapua jana kwa ajili ya kusherekea siku kuu hiyo leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Kikwete ametoa zawadi mbalimbali katika Mahabusu ya watoto walikinzana na sheria iliyopo jijini Arusha.
Akikabidhi zawadi hizo kwa niaba ya Rais Kikwete,Katibu Tawala wa mkoa wa...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WATOTO YATIMA ,MAHABUSU YA WATOTO PAMOJA NA WAZEE WASIOJIWEZA
9 years ago
MichuziJK AWAPA ZAWADI YA IDD MAHABUSU YA WATOTO ARUSHA
9 years ago
MichuziMBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI NDELAKINDO KESSY AWAKUMBUKA WATOTO KATIKA KUUANZA MWAKA 2016.
Mkurugenzi wa Mambo ya nje wa Chama cha NCCR-Mageuzi na Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki,Ndelakindo Kessy akizungumzia utaratibu ambao chama hicho umeuanzisha wa kusaidia watoto waishio katika mazingira magumu katika jimbo la Vunjo.Baadhi ya watoto kutoka kata 16 za jimboo la Vunjo walioandaliwa sherehe ya kuukarbisha mwaka mpya wa 2016 na Chama cha NCCR-Mageuzi katika jimbo la Vunjo. Mbunge wa Viti Maalum kupitia chama cha NCR-Mageuzi,Corona Kundi akizungumza na watoto.
PICHA ZAIDI...
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Mahabusu ya watoto yakosa maji
MAHABUSU ya watoto mkoani Tanga haina huduma ya maji, jambo ambalo huenda likachangia kuwepo kwa magonjwa ya mlipuko na kuhatarisha maisha ya watoto waliopo katika mahabusu hiyo. Akizungumza na gazeti hili,...
10 years ago
Michuzi14 Aug
Mahabusu ya watoto Tanga kupatiwa fedha
Serikali imetenga fedha zitagawiwa kwenye vituo vyote vinavyotoa ushauri nasaha na kurekebisha watoto walio chini ya umri wa miaka 18 vilivyo chini ya Idara ya Ustawi wa jamii nchini.
Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Nsachris Mwamwaja kufuatia habari iliyochapishwa na gazeti la Majira toleo Na. 7524 Vol.II/5624 la Jumatano Agosti 13, mwaka huu yenye kichwa cha habari “Mahabusu ya watoto yadaiwa mil. 1/=”.
“Ni kweli tatizo hilo lipo...
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Mahabusu ya watoto Tanga haina maji safi
WATOTO wanaotumika adhabu za vifungo katika mahabusu ya watoto Barabara ya 16 Tanga, wapo hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kutokana na ukosefu wa huduma ya maji safi kwa zaidi ya...
11 years ago
BBCSwahili11 Apr
Rais Kikwete apongeza timu ya watoto