Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete apongeza timu ya watoto

Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ameipongeza Timu ya Watoto wa Mitaani ya nchi hiyo kwa kutwaa Kombe la Dunia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WATOTO YATIMA ,MAHABUSU YA WATOTO PAMOJA NA WAZEE WASIOJIWEZA

Watawa wa kituo cha kulea watoto yatima cha Mburahati wakipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla iliyofanyika leo katika Mahabusu ya Watoto Jijini Dar es Salaam. Mwakilishi wa Kituo cha Darul Alqam, Shaban Mohamed akipokea msaada wa Mbuzi,Mchele na Mafuta uliotolewa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo katika hafla...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete atoa Msaada kwa Timu ya Kilimani Sports Club mjini Dodoma


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi timu ya soka ya Kilimani Sports Club jezi na mipira katika ikulu ndogo ya mjini Dodoma leo asubuhi.Rais Kikwete alitoa msaada kwa timu hiyo baada ya kuwakuta vijana hao wakifanya mazoezi bila zana bora katika uwanja wa mpira ulioko eneo la Kilimani karibu na ikulu wakati Rais alipokuwa akifanya mazoezi ya kutembea katika eneo hilo.Wakiongea mara baada ya kupokea msaada huo vijana hao walimshukuru Rais Kwa moyo wake wa upendo na nia yake ya kukuza...

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete apongeza Polisi

RAIS Jakaya Kikwete amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kusimamia vizuri kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazofikia ukingoni, lakini akalitaka kuwadhibiti watu wote watakaoonesha viashiria vya uvunjifu wa amani kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu unaofanyika Jumapili wiki hii.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awasalimu watoto mapacha DRC

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia watoto mapacha waliokuwa wanasubiri kupata matibabu katika Hospitali ya Ngaliema iliyopo jijini Kinshasa jana.Rais Kikwete alikwenda hospitalini hapo kumjulia hali balozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mh.,Antony Ngereza Cheche anayetibiwa hospitalini hapo(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete awapa Futari Watoto Yatima

Baadhi ya watoto yatima kutoka katika vituo mbalimbali vya malezi mkoa wa Dar es Salaam wakipata futari katika viwanja vya ikulu(picha na Freddy MaroRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu jana jioni.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu jana jioni.Rais Dkt.Jakaya...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete awakumbuka watoto mahabusu Arusha



Na Mussa Juma, Mwananchi
Atoa mbuzi wawili kwa ajili ya kushereheka Pasaka
Arusha. Rais Jakaya Kikwete ametoa msaada wa mbuzi wawili, chakula na mafuta kwa watoto waliopo mahabusu mkoani hapa ili kusheherehea Sikukuu ya Pasaka.Akikabidhi msaada huo, Ofisa Maendeleo ya Jamii Sekretarieti ya Mkoa wa Arusha, Thabita Matiko alisema juzi kuwa vitu vyote hivyo vina thamani ya Sh400,000.

Alisema watoto hao wanapaswa kusherehekea Pasaka kama wengine wanaoishi na wazazi wao.

Wakati huohuo, Ofisa Ustawi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akabidhi bendera timu ya taifa ya riadha itayoshiriki michuano ya jumuiya ya madola huko Glasgow, Scotland

ta6

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi ya kukabidhi bendera iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.(PICHA NA IKULU).

ta1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani