Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete apongeza Polisi

RAIS Jakaya Kikwete amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kusimamia vizuri kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazofikia ukingoni, lakini akalitaka kuwadhibiti watu wote watakaoonesha viashiria vya uvunjifu wa amani kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu unaofanyika Jumapili wiki hii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mbunge wa CUF apongeza NEC, Polisi

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Jeshi la Polisi mjini Lindi mkoani Lindi imepongezwa kwa utendaji wake wa kazi kwa kufuata taratibu na sheria kwenye kampeni za uchaguzi zinazoendelea wakati huu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais Kikwete apongeza timu ya watoto

Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ameipongeza Timu ya Watoto wa Mitaani ya nchi hiyo kwa kutwaa Kombe la Dunia.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete apongeza wasomi wanaolima, kuwasaidia

RAIS Jakaya Kikwete amewapongeza vijana wa vyuo vikuu, ambao wamejiunga kwenye kikundi na kufanya shughuli za kilimo kwa kutumia teknolojia mpya ya green house, ambapo baada ya kuvuna wanatarajia kupata Sh milioni 23.

 

11 years ago

Raisi Kikwete amteua Kamishna wa Polisi Ernest Mangu kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail:  ikulumawasiliano@yahoo.com
              press@ikulu.go.tz             
Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,
      THE STATE HOUSE,
              P.O. BOX 9120,  
DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa ...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, pia amteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola kuongoza Idara ya Intelijensia ya Jinai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).
Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Robert S. Manumba ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.
Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...

 

10 years ago

Mwananchi

Gwajima: Kikwete wakemee polisi

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amemwomba Rais Jakaya Kikwete kuvikemea vyombo vya dola vinavyomfuatafuata vikihoji mambo binafsi na kwamba akishindwa kufanya hivyo itakuwa wazi kwamba yeye ndiye anawatuma

 

10 years ago

Vijimambo

Gwajima: Kikwete wakemee polisi wanaoniandama

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima
Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amemwomba Rais Jakaya Kikwete kuvikemea vyombo vya dola vinavyomfuatafuata vikihoji mambo binafsi na kwamba akishindwa kufanya hivyo itakuwa wazi kwamba yeye ndiye anawatuma.Akihubiri mamia ya waumini wa kanisa hilo jana, Gwajima alisema amekuwa akifuatwafuatwa na vyombo vya Serikali utadhani yeye si raia wakati ni Mtanzania halisi.“Rais Kikwete tafadhali namuomba...

 

10 years ago

Mtanzania

Kikwete aionya polisi matumizi ya nguvu

jkNa Asifiwe George, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuacha kutumia nguvu kupita kiasi kwa wananchi wakati linapotekeleza majukumu yake ya kazi.
Pia amelitaka kuwa makini kutokana na nchi kukabiliwa na mambo matatu muhimu ya uandikishaji Daftari la Kudumu la Wapigakura, kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa na Uchaguzi Mkuu.
Rais Kikwete aliyasema hayo Dar es Salaam jana alipofunga mafunzo ya uongozi katika ngazi ya urakibu katika Chuo Cha Taaluma ya Polisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani