Kikwete aionya polisi matumizi ya nguvu
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuacha kutumia nguvu kupita kiasi kwa wananchi wakati linapotekeleza majukumu yake ya kazi.
Pia amelitaka kuwa makini kutokana na nchi kukabiliwa na mambo matatu muhimu ya uandikishaji Daftari la Kudumu la Wapigakura, kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa na Uchaguzi Mkuu.
Rais Kikwete aliyasema hayo Dar es Salaam jana alipofunga mafunzo ya uongozi katika ngazi ya urakibu katika Chuo Cha Taaluma ya Polisi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili15 Jun
Virusi vya corona: Matumizi makubwa ya nguvu za polisi na athari zake
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Baada ya Kolo Toure, huyu ni staa mwingine wa soka aliyefungiwa kwa matumizi ya dawa za kuongeza nguvu ….
Najua umezoea kusikia zile headlines za wanamichezo kadhaa wakiingia katika shutuma za kutumia dawa za kuongeza nguvu michezoni dawa ambazo zimekatazwa kutumika katika michezo. Miongoni mwa wanamichezo ambao wamekuwa wakituhumiwa kutumia dawa hizo ni wanariadha na mabondia. Stori zilizopo katika headlines kwa sasa zinamuhusu staa wa soka wa Brazil anayekipiga katika klabu ya Shaktar Donetsk ya Ukraine Frederico […]
The post Baada ya Kolo Toure, huyu ni staa mwingine wa soka aliyefungiwa kwa...
10 years ago
Mtanzania29 Jan
Jeshi la Polisi linavyotumia nguvu nchini
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
KWA miaka kadhaa sasa yamekuwapo malalamiko kuhusu matumizi ya nguvu ya Jeshi la Polisi dhidi ya raia wakiwamo waandishi wa habari na viongozi wa upinzani nchini.
Matukio hayo ni kama lile la kutisha ambako mwandishi wa habari, Daudi Mwangosi aliuawa Septemba 2, mwaka 2012 kwa bomu lililorushwa na polisi mkoani Iringa.
Mwangosi aliuawa kwa bomu la kutoa machozi lililorushwa na polisi waliotaka kulizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufungua tawi...
10 years ago
Mtanzania18 Sep
Chadema, Polisi kupimana nguvu leo
![Dk. Wilbrod Slaa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Willibrod-Slaa.jpg)
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewahamasisha wanachama wake walio jijini Dar es Salaam na mikoa ya jirani kufurika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wakati mwenyekiti wao Freeman Mbowe atakapohojiwa, huku jeshi hilo likionya raia yeyote kutosogelea eneo hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya chama hicho Kinondoni jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu, Dk....
11 years ago
Habarileo20 Feb
Polisi kuongeza nguvu udhibiti mauaji ya kishirikina
JESHI la Polisi nchini litaendelea kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia na vitendo vya mauaji yanayosababishwa na imani za kishirikina kwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya madhara ya vitendo hivyo.
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Polisi walaumiwa kuhoji watuhumiwa kwa nguvu
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_rTWukMf3YQ/U4JmetZkxaI/AAAAAAAAAjo/ZigL8QHZZss/s72-c/YKL.jpg)
POLISI WAUNGANISHA NGUVU KUKABILIANA NA UHALIFU MTANDAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-_rTWukMf3YQ/U4JmetZkxaI/AAAAAAAAAjo/ZigL8QHZZss/s320/YKL.jpg)
Kupitia program ya mpango uliopewa jina la “Cyber safety pasifika” uliopangwa kuwasaidia watoto,...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-asdGjl0oqc4/VCbQYK2zoXI/AAAAAAABJzM/5e82NxEHwPw/s72-c/s4.jpg)
SIMBA YATOSHANA NGUVU YA KUFUNGANA BAO 1-1 NA POLISI MOROGORO
![](http://2.bp.blogspot.com/-asdGjl0oqc4/VCbQYK2zoXI/AAAAAAABJzM/5e82NxEHwPw/s1600/s4.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lML_MAwTewA/VCbQcM2Q8kI/AAAAAAABJzk/ziUNO3cuYrM/s1600/s7.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-VOLShpaqltA/VCbQdWNeE5I/AAAAAAABJzs/WbuRh-qP7Zs/s1600/s8.jpg)
11 years ago
Ykileo![](http://2.bp.blogspot.com/-_rTWukMf3YQ/U4JmetZkxaI/AAAAAAAAAjo/ZigL8QHZZss/s72-c/YKL.jpg)
POLISI WA UNGANISHA NGUVU KWENYE MAPAMBANO DHIDI YA UHALIFU MTANDAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-_rTWukMf3YQ/U4JmetZkxaI/AAAAAAAAAjo/ZigL8QHZZss/s1600/YKL.jpg)
Kupitia program ya mpango uliopewa jina la “Cyber safety pasifika” uliopangwa kuwasaidia watoto,...