Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema, Polisi kupimana nguvu leo

Dk. Wilbrod Slaa

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa

NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewahamasisha wanachama wake walio jijini Dar es Salaam na mikoa ya jirani kufurika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wakati mwenyekiti wao Freeman Mbowe atakapohojiwa, huku jeshi hilo likionya raia yeyote kutosogelea eneo hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya chama hicho Kinondoni jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu, Dk....

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

CCM, Chadema kupimana nguvu tena Jumapili

>Uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 27 utakaofanyika maeneo kadhaa nchini, unatajwa kuwa kipimo cha kisiasa kwa vyama viwili hasimu – CCM na Chadema. Vyama hivi kwa muda sasa vimekuwa katika mivutano ya ndani kwa ndani inayoonekana kutishia uhai wa kila kimoja.

 

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal kupimana nguvu tena na Bayern

Difenda wa Arsenal Per Mertesacker amesema Bayern Munich itataka sana kuonyesha kwamba ndiyo bora zaidi klabu hizo mbili zitakapokutana tena leo.

 

10 years ago

Michuzi

KESI WAFUASI WA CHADEMA KUVAMIA POLISI YASOMWA LEO MAHAKAMANI

UPANDE wa Jamhuri katika kesi inayowakabili wafuasi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umedai mahakamani kwamba washtakiwa hao walikiuka amri halali ya Jeshi la Polisi baada ya kuvuka kizuizi kilichowekwa eneo la Makao Makuu ya  jeshi hilo.
Kadhalika, washtakiwa hao Ngaiza Kamugisha (28)  dereva, mkazi wa Vingunguti, Benito Mwapinga (30) Fundi nguo mkazi wa Mtoni kwa Azizi Ally na Eliasante Bugeji (51) Mhasibu wa CCBRT mkazi wa Komakoma Kinondoni, Dar es Salaam, wanadaiwa...

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHADEMA,FREEMAN MBOWE AFIKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI KWA MAHOJIANO LEO

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Freeman Mbowe akiwasili kwenye makao makuu ya Jeshi la Polisi nchini,Mapema leo asubuhi tayari kwa kwenda kuhojiwa juu kauli aliyoitoa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho hivi katibuni,kuwa watafanya maandamano nchini nzima bila kikomo. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),John Mnyika akizungumza na waandishi wa habari waliokuwepo kwenye eneo la makao makuu ya Jeshi la Polisi,juu ya kile kilichokuwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Kikwete aionya polisi matumizi ya nguvu

jkNa Asifiwe George, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuacha kutumia nguvu kupita kiasi kwa wananchi wakati linapotekeleza majukumu yake ya kazi.
Pia amelitaka kuwa makini kutokana na nchi kukabiliwa na mambo matatu muhimu ya uandikishaji Daftari la Kudumu la Wapigakura, kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa na Uchaguzi Mkuu.
Rais Kikwete aliyasema hayo Dar es Salaam jana alipofunga mafunzo ya uongozi katika ngazi ya urakibu katika Chuo Cha Taaluma ya Polisi...

 

10 years ago

Mtanzania

Jeshi la Polisi linavyotumia nguvu nchini

340677346Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
KWA miaka kadhaa sasa yamekuwapo malalamiko kuhusu matumizi ya nguvu ya Jeshi la Polisi dhidi ya raia wakiwamo waandishi wa habari na viongozi wa upinzani nchini.
Matukio hayo ni kama lile la kutisha ambako mwandishi wa habari, Daudi Mwangosi aliuawa Septemba 2, mwaka 2012 kwa bomu lililorushwa na polisi mkoani Iringa.
Mwangosi aliuawa kwa bomu la kutoa machozi lililorushwa na polisi waliotaka kulizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufungua tawi...

 

11 years ago

Michuzi

POLISI WAUNGANISHA NGUVU KUKABILIANA NA UHALIFU MTANDAO

Polisi wa visiwa vya kifalme vya Solomon vilivyopo pasifiki ya kusini wameunganisha nguvu katika mapambano dhidi ya uhalifu mtandao na kuelezwa ya kwamba nguvu kubwa itasogezwa mashuleni ili kukuza uelewa wa maswala ya uhalifu mtandao (Awareness) na kusisitizwa hiyo ndio itakua shabaha yao ya awali. Haya yamebainishwa na Bradford Theonomi katika taarifa yake ya kingereza inayosomeka   "HAPA" .
Kupitia program ya mpango uliopewa jina la “Cyber safety pasifika” uliopangwa kuwasaidia watoto,...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi kuongeza nguvu udhibiti mauaji ya kishirikina

JESHI la Polisi nchini litaendelea kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia na vitendo vya mauaji yanayosababishwa na imani za kishirikina kwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya madhara ya vitendo hivyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi walaumiwa kuhoji watuhumiwa kwa nguvu

Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kakusulo Sambo amewajia juu polisi kwa tabia yao ya kutumia nguvu na kukiuka sheria wanapochukua maelezo ya washtakiwa na kusababisha ushahidi muhimu kupotea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani