CCM, Chadema kupimana nguvu tena Jumapili
>Uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 27 utakaofanyika maeneo kadhaa nchini, unatajwa kuwa kipimo cha kisiasa kwa vyama viwili hasimu – CCM na Chadema. Vyama hivi kwa muda sasa vimekuwa katika mivutano ya ndani kwa ndani inayoonekana kutishia uhai wa kila kimoja.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Arsenal kupimana nguvu tena na Bayern
10 years ago
Mtanzania18 Sep
Chadema, Polisi kupimana nguvu leo
![Dk. Wilbrod Slaa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Willibrod-Slaa.jpg)
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewahamasisha wanachama wake walio jijini Dar es Salaam na mikoa ya jirani kufurika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wakati mwenyekiti wao Freeman Mbowe atakapohojiwa, huku jeshi hilo likionya raia yeyote kutosogelea eneo hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya chama hicho Kinondoni jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu, Dk....
11 years ago
Mwananchi08 Jul
SIASA: Chadema: Hatuchukui tena makapi ya CCM
10 years ago
Mwananchi24 Jul
Sarakikya: CCM isipojirekebisha itashindwa tena na Chadema
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-58ZHsyeCAcA/VQ2A9PNX9yI/AAAAAAAHL_g/ET3Eyrp782U/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
Jumapili hii njoo ushuhudie mchuano wa nguvu wa ma-DJ wakali club bilicanas
![](http://1.bp.blogspot.com/-58ZHsyeCAcA/VQ2A9PNX9yI/AAAAAAAHL_g/ET3Eyrp782U/s1600/unnamed%2B(10).jpg)
11 years ago
MichuziKAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM
9 years ago
Dewji Blog28 Sep
Dk Magufuli atoa mpya tena afanya mazoezi ya nguvu jukwaani Makambako
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akifanya mazoezi jukwaani akijiandaa kujinadi kwa wananchi katika Mji wa Makambako, mkoani Njombe leo, jambo ambalo lilizua vifijo, nderemo na vigelegele kutoka kwa wananchi waliofurika kwenye mkutano huo wa kampeni.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akijinadi kwa wananchi kwa kuwaomba ifikapo Oktoba 25, mwaka huu wakati wa Uchaguzi Mkuu, waende...
10 years ago
VijimamboSKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA NGUVU JIJI DAR, NI IJUMAA HII TENA