POLISI WAUNGANISHA NGUVU KUKABILIANA NA UHALIFU MTANDAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-_rTWukMf3YQ/U4JmetZkxaI/AAAAAAAAAjo/ZigL8QHZZss/s72-c/YKL.jpg)
Polisi wa visiwa vya kifalme vya Solomon vilivyopo pasifiki ya kusini wameunganisha nguvu katika mapambano dhidi ya uhalifu mtandao na kuelezwa ya kwamba nguvu kubwa itasogezwa mashuleni ili kukuza uelewa wa maswala ya uhalifu mtandao (Awareness) na kusisitizwa hiyo ndio itakua shabaha yao ya awali. Haya yamebainishwa na Bradford Theonomi katika taarifa yake ya kingereza inayosomeka "HAPA" .
Kupitia program ya mpango uliopewa jina la “Cyber safety pasifika” uliopangwa kuwasaidia watoto,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Ykileo![](http://2.bp.blogspot.com/-_rTWukMf3YQ/U4JmetZkxaI/AAAAAAAAAjo/ZigL8QHZZss/s72-c/YKL.jpg)
POLISI WA UNGANISHA NGUVU KWENYE MAPAMBANO DHIDI YA UHALIFU MTANDAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-_rTWukMf3YQ/U4JmetZkxaI/AAAAAAAAAjo/ZigL8QHZZss/s1600/YKL.jpg)
Kupitia program ya mpango uliopewa jina la “Cyber safety pasifika” uliopangwa kuwasaidia watoto,...
9 years ago
YkileoTAMBUA NAMNA YA KUKABILIANA NA UHALIFU MTANDAO
Nategemea kuandikia yaliyo jiri Nchini kwetu hapo baadae ili kuweza kujua namna mwezi huu tulifanikiwa kukuza uelewa kupitia mashirika mbali mbali na taifa kwa ujumla wake. Kitu...
9 years ago
YkileoZIFAHAMU NJIA MADHUBUTI YA KUKABILIANA NA UHALIFU MTANDAO
Leo nitaangazia njia ambayo imeshika nafasi ya juu na imeonekana na uwezo mkubwa wa kuhimili uhalifu mtandao...
9 years ago
MichuziIFAHAMU NJIA MADHUBUTI YA KUKABILIANA NA UHALIFU MTANDAO
Naimani Mwaka huu Tanzania ita uchukulia mwezi huu...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Yw-mW_JhpIM/VAhcis0-yrI/AAAAAAAAA44/Fj9Qe5KIeF8/s72-c/1.jpg)
NCHI ZAUNGANISHA NGUVU KUPAMBANA NA UHALIFU MTANDAO.
![](http://1.bp.blogspot.com/-Yw-mW_JhpIM/VAhcis0-yrI/AAAAAAAAA44/Fj9Qe5KIeF8/s320/1.jpg)
Kundi jipya lenye makao yake barani ulaya linalounganisha pamoja nchi wanachama wa bara ulaya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wK8M-PehC7M/XnL_UacmGYI/AAAAAAALkYA/sOyMD2cxfo0DJOyF5AOMO66gu6yHmgIPACLcBGAsYHQ/s72-c/SIROO1.jpg)
IGP SIRRO TUMEJIPANGA KUKABILIANA NA UHALIFU
![](https://1.bp.blogspot.com/-wK8M-PehC7M/XnL_UacmGYI/AAAAAAALkYA/sOyMD2cxfo0DJOyF5AOMO66gu6yHmgIPACLcBGAsYHQ/s640/SIROO1.jpg)
IGP Sirro amesema hayo wakati akikamilisha ziara yake ya ukaguzi katika Kanda Maalum ya Polisi...
11 years ago
YkileoMJADALA: UHALIFU MTANDAO
Mwishoni mwa mwaka jana 2013, nilipata mualiko wakuzungumzia kirefu maswala ya usalama mtandao ambapo pia nilipata kuweka mahojiano hayo kupitia moja ya maandiko niliyo andika kupita blog hii kama...
11 years ago
Ykileo![](http://3.bp.blogspot.com/-sQKlfytkjiI/U4pb2_66XgI/AAAAAAAAAl4/ekQZzaDGaOQ/s72-c/1234567890.jpg)
MAPAMBANO YA UHALIFU MTANDAO
![](http://3.bp.blogspot.com/-sQKlfytkjiI/U4pb2_66XgI/AAAAAAAAAl4/ekQZzaDGaOQ/s1600/1234567890.jpg)
Hili pia limeonekana kwa nchi ya Afrika ya kusini kupitia mpango wa mafunzo ya mwezi...
11 years ago
Ykileo![](http://3.bp.blogspot.com/-wfkczx8Q6E0/U328MCKca_I/AAAAAAAAAio/rXocvruFyYE/s72-c/KILEO+BLOG+-+2.jpg)
JE WAJUA? : KESHO YA UHALIFU MTANDAO
![](http://3.bp.blogspot.com/-wfkczx8Q6E0/U328MCKca_I/AAAAAAAAAio/rXocvruFyYE/s1600/KILEO+BLOG+-+2.jpg)
Mijadala, maazimio mbali mbali pamoja na kupitishwa maamuzi yakua mwaka huu wa 2014 kua mwaka wa vitendo kukabiliana na uhalifu vimeenda sambamba na ukuwaji wa kasi wa uhalifu mtandao hivi...