MAPAMBANO YA UHALIFU MTANDAO

Mbali na midahalo, hatua mbali mbali za kukabiliana na uhalifu huu wa kimtandao kwa sasa kumekuja na kasi ya kukuza nguvu watu ili kuongeza nguvu ya kukabiliana na uhalifu huu wa mitandao kwenye taarifa ya "NSA-YA MAREKANI" imeweza kubainisha jinsi taifa hilo linavyo ongeza mafunzo kwa vijana wapya na kuanzishwa program maalum katika vyuo ambapo gharama za mafunzo hayo kwa vijana zinakua ni za serikali.
Hili pia limeonekana kwa nchi ya Afrika ya kusini kupitia mpango wa mafunzo ya mwezi...
Habari Zinazoendana
11 years ago
Ykileo
POLISI WA UNGANISHA NGUVU KWENYE MAPAMBANO DHIDI YA UHALIFU MTANDAO

Kupitia program ya mpango uliopewa jina la “Cyber safety pasifika” uliopangwa kuwasaidia watoto,...
11 years ago
Ykileo
NCHI ZA ME ZAWEKEZA ZAIDI KWENYE MAPAMBANO DHIDI YA UHALIFU MTANDAO

Mengi yalizungumzwa kuhusiana na tishio jipya katika nchi za kiarabu huku kampuni...
11 years ago
Ykileo
MAREKANI YAJIUNGA NA MUUNGANIKO WA KIMATAIFA WA MAPAMBANO NDHIDI YA UHALIFU MTANDAO

Kundi jipya lenye makao yake barani ulaya linalounganisha pamoja nchi wanachama wa bara ulaya pamoja...
11 years ago
YkileoMJADALA: UHALIFU MTANDAO
Nikiwa na Mtangazaji maduhu mara baada ya mahojiano 2013
Kumekua na muendelezo wa mijadala mbali mbali situ nchini bali katika kila pande ya dunia kutokana na hali ya usalama mtandao inavyozidi kuingia dosari kila kukicha. Mijadala hiyo nchini Tanzania pia imeendelea kushika kasi.
Mwishoni mwa mwaka jana 2013, nilipata mualiko wakuzungumzia kirefu maswala ya usalama mtandao ambapo pia nilipata kuweka mahojiano hayo kupitia moja ya maandiko niliyo andika kupita blog hii kama...
Mwishoni mwa mwaka jana 2013, nilipata mualiko wakuzungumzia kirefu maswala ya usalama mtandao ambapo pia nilipata kuweka mahojiano hayo kupitia moja ya maandiko niliyo andika kupita blog hii kama...
11 years ago
Ykileo
JE WAJUA? : KESHO YA UHALIFU MTANDAO

Mijadala, maazimio mbali mbali pamoja na kupitishwa maamuzi yakua mwaka huu wa 2014 kua mwaka wa vitendo kukabiliana na uhalifu vimeenda sambamba na ukuwaji wa kasi wa uhalifu mtandao hivi...
11 years ago
Ykileo
TANZANIA NA UHALIFU MTANDAO - MJADALA

Kipindi kilihusisha wageni walio alikwa Katika studio pamoja na mjumuisho...
10 years ago
Ykileo
GHANA YAJIPANGA KUPAMBANA NA UHALIFU MTANDAO

Mwaka huu baada ya Nchi ya Ghana kua miongoni mwa waathirika wa uhalifu mtandao ambapo mtandao mkuu wa serikali ya nchi hiyo inao hudumia tovuti 58 za serikali ulidukuliwa na kusababisha tovuti 11 kuingiliwa na...
11 years ago
Ykileo
UHALIFU MTANDAO NI TISHIO - NINI KIFANYIKE?

11 years ago
Ykileo
KESHO YA UHALIFU MTANDAO SEHEMU YA PILI - 2

Aidha katika sehemu hii ya pili nitajikita katika mifano zaidi ya Uhalifu mtandao hapo kesho , kugusia mapambano yanayoendelea katika kukabiliana na uhalifu mtandao kwa mifano nikianzia na huu unaosomeka...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania