Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Asilimia 90 ya watoto wote wanapata chanjo’

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema asilimia 90 ya watoto wote wa Tanzania sasa wanapata chanjo kutokana na kazi inayofanywa na Taasisi ya Kusambaza Chanjo Duniani ya Global Alliance for Vaccines and Immunisazation (GAVI).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Asilimia 95 ya watoto kupewa chanjo ya surua na rubella

HALMASHAURI ya Wilaya ya Iringa inatarajia kutoa chanjo ya surua na rubella kwa watoto 111,711 na dawa za matende na mabusha kwa watu wazima 264,076 katika kampeni inayoendelea nchini. Akizungumza...

 

11 years ago

Dewji Blog

Watoto 4000 kupatiwa chanjo katika Wiki ya Chanjo — Parseko Kone, Singida

DSC07952

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizindua utoaji wa chanjo kimkoa katika hospitali ya St.Calorus iliyopo kijiji cha Mtinko. Jumla ya watoto 3,999 wanatarajiwa kupatiwa chanjo mbalimbali.

DSC07953

DSC07970

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza na wakazi wa tarafa ya Mtinko wilaya ya Singida, muda mfupi baada ya kuzindua zoezi la chanjo kimkoa lililoanza jana na linatarajiwa kumalizika Aprili 30 mwaka huu.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu

JUMLA ya watoto 3,999 mkoani...

 

5 years ago

Michuzi

DC LUDEWA AWASISITIZA WAZAZI KUHAKIKISHA WATOTO WAO WANAPATA ELIMU BORA

 Mkurugenzi wa taasisi ya PADECO akikagua vyumba vya jengo la utawala. Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Andrea Tsere (kulia) akikagua jengo la utawala linaloendelea kujengwa
 Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Adrea Tsere(Kushoto) akielekezwa ramani ya ujenzi wa shule ya Nicopolis Academy, kulia ni mmiliki wa shule hiyo Augustino Mwinuka  Diwani wa kata ya Ludewa Monica Mchiro(kulia) akiangalia vyumba vya madarasa ambavyo vinaendelea kujengwa Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Andrea Tsere amewataka...

 

10 years ago

Michuzi

Wazazi wana wajibu na ulazima wa kuhakikisha watoto wao wanapata elimu bora - Balozi Seif Ali Iddi

Wazazi wana wajibu na ulazima wa kuhakikisha kwamba watoto wao wanawasimamia vyema katika kupata elimu bora itakayotoa mwanga wa kimaisha katika hatma yao ya baadaye. 
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alitoa nasaha hizo wakati akizunghumza na Uongozi wa Kamati ya Skuli, walimu, Wazazi na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A “ mara baada ya kuikagua na kuangalia maendeleo na changamoto zinazoikabili skuli hiyo. 
Balozi Seif alisema elimu...

 

11 years ago

Mwananchi

Chanjo mpya ya Malaria kuleta tumaini kwa asilimia 100

Wakati vifo zaidi ya 700,000 vitokanavyo na Malaria vikitokea ukanda wa Jangwa la Sahara kila mwaka wanasayansi wa Taasisi ya Afya ya Ifakara (IHI) wakishirikiana na kampuni ya Marekani wameanza majaribio ya chanjo mpya inayotarajiwa kuzuia malaria kwa asilimia 100.

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto wapelekwe kupatiwa chanjo

Jana katika gazeti hili tulichapisha habari iliyokuwa ikielezea kuwa zaidi ya nusu ya wananchi wa Tanzania, walitarajiwa kuanza kupatiwa chanjo ya ugonjwa wa surua na rubella katika vituo vyote vya afya hapa nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto 35,000 kupewa chanjo Bunda

ZAIDI ya watoto 35,000 watapatiwa chanjo ya surua na kifua kikuu katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, katika zoezi lililoanza hivi karibuni baada ya kuzinduliwa katika Wiki ya Chanjo Duniani....

 

10 years ago

Mwananchi

Wagoma kuwapeleka watoto kupata chanjo

Chanjo ya surua na rubella katika baadhi ya maeneo wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani imekumbwa na changamoto mbalimbali, ikiwamo ya baadhi ya wananchi kugoma kuwapeleka watoto wao katika vituo vya afya kwa madai kuwa dawa hizo zinatolewa na ‘Freemason’ ili kuwafunga vizazi.

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto milioni 21 kupewa chanjo ya surua

Zaidi ya nusu ya wananchi kesho wanatarajiwa kuanza kupatiwa chanjo ya surua na rubella katika vituo vyote vya afya nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani