Mkapa ahimiza wafugaji kupeleka watoto shule
RAIS mstaafu Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka jamii ya wafugaji wa Kimasai wilayani Monduli mkoani Arusha kuhakikisha inapeleka watoto wao.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV28 Dec
Wazazi, walezi waagizwa kupeleka watoto shule
Serikali imewaagiza wazazi na walezi mkoani Tabora kuwapeleka shule watoto wote wenye umri wa kwenda shule kwa kuwa hakuna pingamizi lolote baada ya Serikali kubeba jukumu la kulipia ada na michango mingine kuanzia elimu ya msingi hadi sekondari.
Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kapunze Kata ya Ikomwa Manispaa ya Tabora, Mkuu wa mkoa huo Ludovick Mwananzila amesema Serikali imezitambua kaya masikini na kuzipatia ruzuku inayowezesha kuwahudumia watoto wao na kuongeza mahudhurio...
10 years ago
Habarileo01 Apr
Wahukumiwa kwa kushindwa kupeleka watoto wao shule
WAZAZI 19 wa wanafunzi walioshindwa kuripoti kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo wa 2014/2015 wamehukumiwa kifungo cha nje cha miezi mitatu kila mmoja kutokana na kosa la kushindwa kuwapeleka watoto wao shuleni.
9 years ago
VijimamboBUNGE LA WATOTO OYSTERBAY SHULE YA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.
Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.
Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani akifuatilia hoja kwa makini.wakati kikao cha bunge la watoto likiendelea katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa...
9 years ago
MichuziBUNGE LA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
11 years ago
Habarileo30 Dec
DC ahimiza uhusiano mzuri wakulima, wafugaji
WAKULIMA na wafugaji wilayani Sikonge mkoani Tabora wametakiwa kushirikiana na kuendeleza uhusiano mazuri baina yao kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
Wazazi wahamasishwa kupeleka watoto seminari
WAZAZI na walezi mkoani hapa, wametakiwa kupeleka watoto wao kwenye shule za seminari ili waweze kupata elimu bora na maadili yatakayowasaidia katika maisha yao. Wito huo umetolewa hivi karibuni mkoani...
9 years ago
Habarileo30 Nov
Watakaoshindwa kupeleka watoto shuleni kukiona
SERIKALI imeonya kuwa itawachukulia hatua za kisheria wazazi na walezi watakaoshindwa kuwapeleka watoto shule na kusisitiza kila mtoto anapaswa kupewa haki ya kupata elimu itakayoanza kutolewa bure kuanzia Januari.
10 years ago
Habarileo20 Oct
‘Saidieni wake zenu kupeleka watoto chanjo’
WANAUME wametakiwa kuwasaidia wake zao kupeleka watoto katika vituo vilivyochaguliwa kutolea chanjo ya surua na rubella ili kuhakikisha watoto wote wanapatiwa chanjo hiyo.
11 years ago
MichuziMh. Mkapa atembelea shule ya msingi Manyara Ranchi,Wilayani Monduli
Mzee Mkapa ni Makamu mwenyekiti wa shirika hilo lenye makao yake mjini Washington Marekani.picha mbalimbali zinamuonesha waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimuongoza Rais Mkapa kuzuru shule hiyo.