Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC ahimiza uhusiano mzuri wakulima, wafugaji

Hanifa SelenguWAKULIMA na wafugaji wilayani Sikonge mkoani Tabora wametakiwa kushirikiana na kuendeleza uhusiano mazuri baina yao kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

IMG_0113   Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

11 years ago

Habarileo

Balozi: Uhusiano wa Tanzania na Rwanda ni mzuri

SERIKALI ya Rwanda imesema uhusiano wake na Tanzania ni mzuri na kwamba hakuna chokochoko zinazofanywa na upande wowote. Balozi wa Rwanda, Ben Rugangazi alitoa msimamo huo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kikwete ahimiza uhusiano mwema na Kenya

Rais wa Tanzania Jakaya Kimwete amelihutubia Bunge la Kenya na kuahidi kwamba uhusiano baina ya Kenya na Tanzania hautabadilika hata akiondoka mamlakani.

 

11 years ago

Habarileo

Mkapa ahimiza wafugaji kupeleka watoto shule

RAIS mstaafu Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka jamii ya wafugaji wa Kimasai wilayani Monduli mkoani Arusha kuhakikisha inapeleka watoto wao.

 

10 years ago

Habarileo

Wakulima, wafugaji wapigana Same

KUMEZUKA mapigano baina ya wafugaji na wakulima katika kijiji cha Jiungeni Lolokai, kata ya Ruvu wilayani Same na tayari wakulima wanne wamejeruhiwa vibaya na silaha za jadi, na mmoja kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC kwa matibabu zaidi.

 

9 years ago

Michuzi

WAKULIMA NA WAFUGAJI CCM

Na Joachim Mushi, Dodoma.MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu amesema Serikali itakayoundwa na chama hicho endapo itashika dola katika Uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2015 itahakikisha inapima ardhi yote ya vijiji pamoja na kuainisha mipaka ili kukomesha migogoro ya ardhi. 
 Bi. Suluhu ametoa kauli hiyo alipokuwa akinadi ilaya ya CCM katika Majimbo mawili tofauti ya Kongwa na Chilonwa Mkoa wa Dodoma ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kufanya kampeni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima, wafugaji waungana kumzomea RC

MKUU wa Mkoa (RC) wa Manyara, Erasto Mbwilo, juzi alijikuta katika wakati mgumu baada ya wakulima na wafugaji kumtuhumu kwa kukuza migogoro ya mauaji kati yao wilayani Kiteto. Mbali na...

 

9 years ago

Mwananchi

Mapigano ya wakulima, wafugaji yakomeshwe

Uhai wa Mtanzania mmoja umepotea katika Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro. Ni kutokana na mapigano kati ya wakulima na wafugaji. Katika mapigano hayo, watu wengine wanne akiwamo askari, walijeruhiwa huku zaidi ng’ombe 72 wakiuawa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mkutano wa wakulima, wafugaji wavunjika

>Wakati Jeshi la Polisi likilazimika kufyatua mabomu ya machozi kuwatawanya watu, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Benedict Ole Nangoro, ametuhumiwa kuchochea mgogoro wa wakulima na wafugaji Wilayani Kiteto mkoani Manyara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani