Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi: Uhusiano wa Tanzania na Rwanda ni mzuri

SERIKALI ya Rwanda imesema uhusiano wake na Tanzania ni mzuri na kwamba hakuna chokochoko zinazofanywa na upande wowote. Balozi wa Rwanda, Ben Rugangazi alitoa msimamo huo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI WA RWANDA NA NORWAY, AMWAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI RWANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura alipowasilisha hati za utambulisho Ikulu jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura… ...

 

10 years ago

Michuzi

JK mwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, apokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini leo

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Ali li Iddi Siwa katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea  hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania Mhe. Eugene Segore Kayihura katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema wahoji uhusiano Tanzania, Rwanda

>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeiomba Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inayoongozwa na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa kuunda kamati ndogo kuchunguza uhusiano kati ya Tanzania na Rwanda.

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Botswana nchini Tanzania Ikulu Dar, akutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania

02

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. (Picha na OMR).

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na  Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana,...

 

11 years ago

Habarileo

DC ahimiza uhusiano mzuri wakulima, wafugaji

Hanifa SelenguWAKULIMA na wafugaji wilayani Sikonge mkoani Tabora wametakiwa kushirikiana na kuendeleza uhusiano mazuri baina yao kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete amwapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda

Picha na 8

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimwapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ally Iddi Siwa jana Ikulu jijini Dar es salaam. 

Picha na 9

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akisaini hati za kiapo cha Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ally Iddi Siwa Ikulu jijini Dar es salaam. 

Picha na 10

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimkabidhi mwongozo wa kazi anayekwenda kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda,...

 

10 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akutana na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Rwanda

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Rwanda zina wajibu wa kuendelea kushirikiana pamoja katika kudumisha udugu na ujirani mwema kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kihistoria uliopo kati ya mataifa hayo mawili wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo wakati akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Rwanda Balozi Said Ali Siwa aliyekuja kuaga rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na Rais wa Jamuhuri ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani