Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndg. Ali Siwa ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Rajabu Hassan Gamaha ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi.

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Balozi Rajabu Hassan Gamaha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi.


 Balozi Gamaha anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Mwasi Nzagi ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huo Balozi Gamaha alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Uteuzi huo unaanza mara moja.
Imetolewa na:

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,

Dar es Salaam


27 Aprili 2015

 

9 years ago

Michuzi

Flaviana Matata ateuliwa kuwa Balozi wa hiyari wa Utalii Tanzania nchini marekani

flavy   Dr Adelhelm James Meru akimkabidhi Flaviana Matata barua ya kuchaguliwa kwake huku kaimu Mkurugenzi Devota Mdachi akishuhudia, katika ofisi za wizara hiyo. Mwanamitindo wa Kimataifa anaefanyia kazi zake za nchini Marekani Flaviana Matata amechagulia na Wizara ya Maliasili kuwa Balozi wa Hiyari 'Good Will Ambassador' kwa kipindi cha miaka mitatu kwa dhumuni la kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania ndani na nje ya nchi.Flaviana ambaye juzi alikuwa mmoja kati ya shuhuda wa kushuhudia...

 

10 years ago

Michuzi

Jack Mugendi Zoka ateuliwa kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bw. Jack Mugendi Zoka (pichani) kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada.
Bw. Zoka anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Alex Masinda, ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Zoka alikuwa Ofisa Mwandamizi Ofisi ya Rais Ikulu.
IMETOLEWA NAKATIBU MKUUWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFADar es Salaam,Septemba 30, 2014

 

10 years ago

Michuzi

JK mwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, apokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini leo

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Ali li Iddi Siwa katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea  hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania Mhe. Eugene Segore Kayihura katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI WA RWANDA NA NORWAY, AMWAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI RWANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura alipowasilisha hati za utambulisho Ikulu jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi wa Botswana nchini Tanzania Ikulu Dar, akutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania

02

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. (Picha na OMR).

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na  Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana,...

 

9 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA ATEULIWA KUWA BALOZI WA UTALII NEW YORK CITY NCHINI MAREKANI

 Katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii Adelhelm Meru akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusiana na kumtambulisha Flaviana Matata  kuwa balozi wa utalii jimbo la New York City nchini Marekani. Kutoka kulia ni Flavianao Matata na kushoto Kaimu Mkurugenzi mwendeshaji Bodi ya Utalii TTB Devota Mdachi.Katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii Adelhelm Meru akimkabidhi cheti   cha kumtambua kuwa balozi wa utalii jimbo la New York City nchini Marekani Flaviana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani