FLAVIANA MATATA ATEULIWA KUWA BALOZI WA UTALII NEW YORK CITY NCHINI MAREKANI
Katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii Adelhelm Meru akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusiana na kumtambulisha Flaviana Matata kuwa balozi wa utalii jimbo la New York City nchini Marekani. Kutoka kulia ni Flavianao Matata na kushoto Kaimu Mkurugenzi mwendeshaji Bodi ya Utalii TTB Devota Mdachi.
Katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii Adelhelm Meru akimkabidhi cheti cha kumtambua kuwa balozi wa utalii jimbo la New York City nchini Marekani Flaviana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi08 Sep
Flaviana Matata ateuliwa kuwa Balozi wa hiyari wa Utalii Tanzania nchini marekani

10 years ago
Vijimambo08 Sep
Flaviana Matata ateuliwa kuwa Balozi wa hiyari wa Utalii Tanzania.

Dr Adelhelm James Meru akimkabidhi Flaviana Matata barua ya kuchaguliwa kwake huku kaimu Mkurugenzi Devota Mdachi akishuhudia, katika ofisi za wizara hiyo

Mwanamitindo wa Kimataifa anaefanyia kazi zake za nchini Marekani Flaviana Matata amechagulia na Wizara ya Maliasili kuwa Balozi wa Hiyari 'Good Will Ambassador' kwa kipindi cha miaka mitatu kwa dhumuni la kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania ndani na nje ya nchi.
Flaviana ambaye juzi alikuwa mmoja kati ya shuhuda wa kushuhudia...
10 years ago
Michuzi11 Dec
RUSSELL SIMMONS AMSHIKA MKONO TENA FLAVIANA KUITAMBULISHA FLAVIANA MATATA FOUNDATION MAREKANI
9 years ago
Dewji Blog10 Nov
Vieira ateuliwa kuwa kocha wa New York City FC
Kocha mpya wa New York City, Patrick Vieira.
Kikosi cha New York City.
Na Rabbi Hume
Mchezaji wa zamani wa Arsenal na kocha wa timu kukuzia vipaji ya vijana ya Manchester City, Patrick Vieira ameteuliwa kuwa kocha wa timu ya New York City inayoshiriki ligi kuu ya nchini Marekani MSL.
Uteuzi wa Vieira umekuja ikiwa ni siku sita (6) tangu kutimuliwa kazi aliyekuwa kocha wa timu hiyo Jason Kreis.
Vieira ambae anaiongoza timu ya vijana kuangalia maendeleo ya vijana alijiunga na timu hiyo 2013...
9 years ago
Bongo510 Nov
Patrick Vieira ateuliwa kuwa kocha mpya wa New York City

Mchezaji na kiungo wa zamani ufaransa na timu za Arsenal na Manchester City, Patrick Vieira ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya New York City.
Vieira mwenye miaka 39 amesaini mkataba wa miaka mitatu kuifundisha timu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya soka nchini Marekani.
Vieira alikuwa kocha wa kikosi cha vijana wa chini ya umri wa 21 cha Manchester City. Vieira ni miongoni mwa nyota wa timu ya taifa ya Ufaransa waliotwaa kombe la dunia mwaka 1998.
Vieira ataanza kazi hiyo rasmi Januari 1,...
10 years ago
Michuzi
Balozi Rajabu Hassan Gamaha ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi.

Balozi Gamaha anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Mwasi Nzagi ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huo Balozi Gamaha alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Uteuzi huo unaanza mara moja.
Imetolewa na:Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dar es Salaam
27 Aprili 2015
11 years ago
Michuzisupermodel flaviana matata atembelea ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York
Picha ya chini Flaviana akiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa jijini New York.
10 years ago
GPL
MWANAMKE MWEUSI ATEULIWA KUWA MWANASHERIA MKUU NCHINI MAREKANI
10 years ago
Bongo516 Sep
Picha: Flaviana Matata na Rosemary Kokuhilwa wajichanganya na Paris na Nicky Hilton kwenye New York Fashion Week