Jack Mugendi Zoka ateuliwa kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bw. Jack Mugendi Zoka (pichani) kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada.
Bw. Zoka anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Alex Masinda, ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Zoka alikuwa Ofisa Mwandamizi Ofisi ya Rais Ikulu.
IMETOLEWA NAKATIBU MKUUWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFADar es Salaam,Septemba 30, 2014
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-QfM0tpK5Bbw/VHjcA111ebI/AAAAAAAG0C0/mawUlLWpLwc/s72-c/unnamed%2B(30).jpg)
DKT SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA Jack Mugendi Zoka
![](http://4.bp.blogspot.com/-QfM0tpK5Bbw/VHjcA111ebI/AAAAAAAG0C0/mawUlLWpLwc/s1600/unnamed%2B(30).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-mqaYekdgR0k/VHjcA2dTVGI/AAAAAAAG0Cw/W6quYhyTZyw/s1600/unnamed%2B(31).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-M_R104a2HYk/VHjcBCmwpTI/AAAAAAAG0Cs/v2BpYfP1pO8/s1600/unnamed%2B(32).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-a8A_vZbflWk/VNOUWnYgUsI/AAAAAAAHCDE/T2NyGN7DtFI/s72-c/unnamed%2B(14).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ZbZaTexdaRo/VT6Uijd1IUI/AAAAAAAHTs0/7BIkAx09Tko/s72-c/download.jpg)
Balozi Rajabu Hassan Gamaha ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Burundi.
![](http://2.bp.blogspot.com/-ZbZaTexdaRo/VT6Uijd1IUI/AAAAAAAHTs0/7BIkAx09Tko/s1600/download.jpg)
Balozi Gamaha anachukua nafasi ya Balozi Dkt. Mwasi Nzagi ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. Kabla ya uteuzi huo Balozi Gamaha alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Uteuzi huo unaanza mara moja.
Imetolewa na:Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dar es Salaam
27 Aprili 2015
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8YvkhgWXPhU/U_z1GgeAOII/AAAAAAAGClY/ufZZ2RA74OQ/s72-c/New%2BPicture.bmp)
9 years ago
Michuzi08 Sep
Flaviana Matata ateuliwa kuwa Balozi wa hiyari wa Utalii Tanzania nchini marekani
![flavy](http://www.8020fashionsblog.com/wp-content/uploads/2015/09/flavy-650x432.jpg)
10 years ago
GPLDKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI CANADA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais baada ya kuteuliwa rasmi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi… ...
10 years ago
MichuziDkt. Shein akutana na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada,leo
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-05M0yuOBxjM/Vm5kcr03bOI/AAAAAAAIMOs/eBfXW0JPUI0/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-12-14%2Bat%2B9.39.35%2BAM.png)
9 years ago
MichuziFLAVIANA MATATA ATEULIWA KUWA BALOZI WA UTALII NEW YORK CITY NCHINI MAREKANI
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania