Chadema wahoji uhusiano Tanzania, Rwanda
>Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeiomba Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inayoongozwa na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa kuunda kamati ndogo kuchunguza uhusiano kati ya Tanzania na Rwanda.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo03 Apr
Balozi: Uhusiano wa Tanzania na Rwanda ni mzuri
SERIKALI ya Rwanda imesema uhusiano wake na Tanzania ni mzuri na kwamba hakuna chokochoko zinazofanywa na upande wowote. Balozi wa Rwanda, Ben Rugangazi alitoa msimamo huo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari.
11 years ago
Michuzi02 Jul
RAIS KAGAME WA RWANDA AZUNGUMZIA UHUSIANO WA NCHI YAKE NA TANZANIA, ASEMA NI MATAIFA NDUGU NA YATAENDELEA KUWA HIVYO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWyrw-bPDMEPB55TR4UUpvIHjn4CPULQDWH3W5SNPFHSZVi3aP6xcCMTGLIFCFApgZsaMc*HwOxrRafktoZBxVJl/Pichana1.jpg?width=650)
RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI WA RWANDA NA NORWAY, AMWAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI RWANDA
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Ujumbe wa Tanzania wakutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi kujadili uchumi wa Tanzania
Baadhi ya viongozi wa Wizara ya fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka Tanzania ulikutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Phippe Dongier hawapo kwenye picha kwa madhumuni ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uchumi wa Tanzania. Kutoka kushoto ni Bw. John Cheyo ambaye ni Kamishna wa Bajeti, anayefuata ni Katibu...
10 years ago
Habarileo28 Dec
Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Mbogwe arejeshwa kwao Rwanda
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Mbogwe mkoani Geita Omari Atanas, amekamatwa na maofisa Uhamiaji wilayani hapa kurudishwa kwao nchini Rwanda baada ya kubainika sio raia wa Tanzania.
11 years ago
BBCSwahili20 Dec
Uhusiano wa Mandela na Tanzania
10 years ago
Habarileo28 Jan
India kuimarisha uhusiano na Tanzania
BALOZI wa India nchini, Debnath Shaw amesema kuwa nchi yake itaendelea kuimarisha uhusiano uliopo na Tanzania katika kuhakikisha nchi zote zinafaidika na miradi mbalimbali ya maendeleo.
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Tanzania, Finland kuimarisha uhusiano
Na Mwandishi Maalumu, Finland
UHUSIANO baina ya Tanzania na Finland utaendelea kuimarishwa zaidi kuliko ilivyo sasa, imeelezwa.
Kauli hiyo imetolewa jana mjini Helsinki na Rais Sauli Niinisto wa Finland, katika mazungumzo yake na Rais Jakaya Kikwete yaliyofanyika Ikulu nchini hapa.
“Uhusiano wetu ni wa muda mrefu, ni uhusiano ambao umedumu kwa miaka 50, tumekuwa na uhusiano ambao umeleta maendeleo ya kiuchumi kwa Tanzania.” Rais Niinisto alisema na kuongeza: “Hii inatupa nafasi ya kutafuta...