Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania, Finland kuimarisha uhusiano

Sauli_NiinistöNa Mwandishi Maalumu, Finland
UHUSIANO baina ya Tanzania na Finland utaendelea kuimarishwa zaidi kuliko ilivyo sasa, imeelezwa.

Kauli hiyo imetolewa jana mjini Helsinki na Rais Sauli Niinisto wa Finland, katika mazungumzo yake na Rais Jakaya Kikwete yaliyofanyika Ikulu nchini hapa.
“Uhusiano wetu ni wa muda mrefu, ni uhusiano ambao umedumu kwa miaka 50, tumekuwa na uhusiano ambao umeleta maendeleo ya kiuchumi kwa Tanzania.” Rais Niinisto alisema na kuongeza: “Hii inatupa nafasi ya kutafuta...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

India kuimarisha uhusiano na Tanzania

Debnath ShawBALOZI wa India nchini, Debnath Shaw amesema kuwa nchi yake itaendelea kuimarisha uhusiano uliopo na Tanzania katika kuhakikisha nchi zote zinafaidika na miradi mbalimbali ya maendeleo.

 

5 years ago

Michuzi

NCHI ZA NORDIC ZAAHIDI KUENDELEZA, KUIMARISHA UHUSIANO WAKE NA TANZANIA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akiwa ameshikilia mpira ulioandikwa malengo 17 ya maendeleo endelevu katika picha ya pamoja na mabalozi wa nchini za Nordic. Nchi za NORDIC ambazo ni Norway, Sweden, Finland na Dernmark zimeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania na kuhakikisha kuwa Tanzania inasonga mbele katika maendeleo yake kijamii, kisiasa na kiuchumi.

Akiongea wakati wa maadhimisho ya wiki ya Nordic jijini Dar es Salaam, ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Uhusiano baina ya Tanzania na Finland ni wa kudumu na utaimarishwa na kutafutiwa namna ya kuukuza zaidi ya hapa ulipo sasa

f-14

Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza kwenye mkutano maalum uliofanyika Ikulu, jijini Helsinki. Kulia ni mwenyeji wake Rais  wa Finland, Mh. Sauli Niinisto. 

Rais Sauli Niinisto wa Finland amemueleza Rais Jakaya Mrisho Kikwete tarehe 2 Juni, Ikulu, jijini Helsinki wakati wa Mazungumzo baina ya viongozi hao.

“Uhusiano wetu ni wa muda mrefu, ni uhusiano ambao umedumu kwa miaka 50, tumekuwa na uhusiano ambao umeleta maendeleo ya kiuchumi kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kuimarisha uhusiano na Iran

Marekani imeitaka Iran kuchukua maamuzi sahihi kuhusu mpamngo wa nyuklia ili kuimarisha uhusiano kati yao

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kuimarisha uhusiano na Vietnam

Rais Barack Obama amefanya mazungumzo na jamii ya wavietnam,Ikulu ya Marekani katika kipindi cha miaka ishirini iliyopita.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani na Cuba kuimarisha uhusiano

Msaidizi wa waziri wa mambo ya nje wa Marekani,Roberta Jacobson,ataongoza msafara kutoka nchini mwake kuelekea Havana Cuba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani na Cuba kuimarisha uhusiano wao

Marekani na Cuba zinatarajiwa kuanza mazungumzo ili kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia katika hatua ya kihistoria

 

11 years ago

Michuzi

VODACOM YATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI KUIMARISHA UHUSIANO

 Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba akiongea na Mkuu wa Masoko wa Vodacom Kelvin Twissa na Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Rosalynn Mworia. Twissa na Mworia walitembeela vyombo vya habari vilivyo chini ya Clouds Media Group katika ziara ya akwaida ya kuimarisha uhusiano.  Muongoza Matangazo wa kituo cha Radio Clouds na Clouds TV Barnabas Madili akionyesha namna kazi ya kuongoza matangazo inavyofanyika wakati Mkuu wa Masoko wa Vodacom Kelvin...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo ya amani: Kagame na Museveni wakutana mpakani kuimarisha uhusiano

Rais Yoweri Museveni wa Uganda na mwenzake Paul Kagame wa Rwanda walikutana katika mpaka wa Gatuna kabla ya mazungumzo kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani