VODACOM YATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI KUIMARISHA UHUSIANO
.jpg)
Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba akiongea na Mkuu wa Masoko wa Vodacom Kelvin Twissa na Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Rosalynn Mworia. Twissa na Mworia walitembeela vyombo vya habari vilivyo chini ya Clouds Media Group katika ziara ya akwaida ya kuimarisha uhusiano.
Muongoza Matangazo wa kituo cha Radio Clouds na Clouds TV Barnabas Madili akionyesha namna kazi ya kuongoza matangazo inavyofanyika wakati Mkuu wa Masoko wa Vodacom Kelvin...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
10 years ago
Dewji Blog26 May
Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari
Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.
11 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI
11 years ago
Dewji Blog17 Sep
Dkt. Bilal afungua mkutano wa mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).(Picha na OMR).
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal amevitaka vyombo vya habari na...
11 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI, USALAMA NA SHERIA, JIJINI DAR


11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
TCRA yatembelea vituo vya habari Tanga
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na Kamati ya Maudhui, imefanya ziara mkoani hapa ya kutembelea vituo vya habari kwa lengo la kuangalia namna wanavyofanya shughuli zao. Akizungumza na...
11 years ago
MichuziWamiliki wa Vyombo vya habari watakiwa kuheshimu taaluma ya habari
11 years ago
Michuzi
VYOMBO VYA HABARI VYAASWA KUTOA KIPAUMBELE KWA HABARI ZINAZOJENGA JAMII
