Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TCRA yatembelea vituo vya habari Tanga

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na Kamati ya Maudhui, imefanya ziara mkoani hapa ya kutembelea vituo vya habari kwa lengo la kuangalia namna wanavyofanya shughuli zao. Akizungumza na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

VODACOM YATEMBELEA VYOMBO VYA HABARI KUIMARISHA UHUSIANO

 Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba akiongea na Mkuu wa Masoko wa Vodacom Kelvin Twissa na Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Rosalynn Mworia. Twissa na Mworia walitembeela vyombo vya habari vilivyo chini ya Clouds Media Group katika ziara ya akwaida ya kuimarisha uhusiano.  Muongoza Matangazo wa kituo cha Radio Clouds na Clouds TV Barnabas Madili akionyesha namna kazi ya kuongoza matangazo inavyofanyika wakati Mkuu wa Masoko wa Vodacom Kelvin...

 

10 years ago

Habarileo

Tanga yataja vituo 3 vya kudhibiti ebola

MKOA wa Tanga umetenga vituo kadhaa vya afya vitatu, ikiwa ni hatua ya maandalizi ya kudhibiti watu watakaobainika kuambukizwa virusi vya homa ya ebola.

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI KATIKA VITUO VYA UMEME VYA MBAGALA, G/MBOTO NA KINYEREZI

Waandishi wakiwasili kituo cha kupoza umeme Mbagala wakipokewa na Meneja Miradi Mhandisi Emmanuel Marirabona,(wa tatu kushoto) wakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba,(kushoto) na Meneja Miradi-Ufuaji Umeme, Mhandisi Simon Jilima,(wa pili kushoto). Transfoma ya kuchuja nguvu za umeme iliyopo… ...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI KATIKA VITUO VYA UMEME VYA MBAGALA,G/MBOTO NA KINYEREZI

 Waandishi wakiwasili kituo cha kupoza umeme Mbagala wakipokewa na Meneja Miradi Mhandisi Emmanuel Marirabona,(wa tatu kushoto) wakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba,(kushoto) na Meneja Miradi-Ufuaji Umeme, Mhandisi Simon Jilima,(wa pili kushoto).   Transfoma ya kuchuja nguvu za umeme iliyopo Mbagala. Wafanyakazi wakiendelea na kazi katika kituo cha Mbagala. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco,Felchesmi Mramba,(kulia) na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TCRA yaonya vyombo vya habari

KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imetoa onyo kali  kwa  kituo cha Independent Television (ITV),  Star TV na Radio Free Africa kwa kutangaza maudhui yanayokiuka kanuni za utangazaji...

 

10 years ago

Mwananchi

TCRA yatoa mwongozo wa uchaguzi kwa vyombo vya habari

Ukiwa umesalia mwezi mmoja kuanza kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa rasimu ya mwongozo kwa vyombo vya habari vya utangazaji utakaongoza namna ya kuripoti habari zote za uchaguzi.

 

10 years ago

Michuzi

HABARI TOKA VITUO VYA TELEVISHENI


Kwa habari zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

CH10 NEWSTCRA kwa kushirikiana na Polisi wamfikisha mahakamani kijana mmoja kwa tuhuma za kuzusha kwamba Jenerali Mwamunyange amepewa sumu. https://youtu.be/r_tm-YKn7AIMgombea uraisi wa Chadema Edward Lowassa aahidi kujenga hospitali ya rufaa kila wilaya ili kuwaondolea adha wananchi. https://youtu.be/w3V91OSWR-gHali ya upatikanaji wa umeme nchini yaendelea kuwa tete kufuatia Shirika la umeme nchini Tanesco kuzima baadhi ya mitambo katika bwawa la Kidatu kufuati kupungua kwa kina cha...

 

9 years ago

Michuzi

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI



HABARI ZENYE LINK ZA YOUTUBE! Star TV: Waumini wa Dini Ya kiislam Waungana na waislam wote nchini kusherehekea ibada ya sikukuu ya Eid El Haj na kuombea Amani Uchaguzi mkuu. https://youtu.be/DNNY-2vzKjY
TBC: Mamlaka ya mawasiliano TCRA imewataka wamiliki wa Radio Na TV kutumia vyombo hivyo kuleta maendeleo ya Taifa na sio kufanya Uchochezi. https://youtu.be/3zkiqOOwXqI
Star TV: Serikali yaitaja Wizara ya Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi kutokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani