HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI
CH10 NEWSTCRA kwa kushirikiana na Polisi wamfikisha mahakamani kijana mmoja kwa tuhuma za kuzusha kwamba Jenerali Mwamunyange amepewa sumu. https://youtu.be/r_tm-YKn7AIMgombea uraisi wa Chadema Edward Lowassa aahidi kujenga hospitali ya rufaa kila wilaya ili kuwaondolea adha wananchi. https://youtu.be/w3V91OSWR-gHali ya upatikanaji wa umeme nchini yaendelea kuwa tete kufuatia Shirika la umeme nchini Tanesco kuzima baadhi ya mitambo katika bwawa la Kidatu kufuati kupungua kwa kina cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi25 Sep
HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI
HABARI ZENYE LINK ZA YOUTUBE! Star TV: Waumini wa Dini Ya kiislam Waungana na waislam wote nchini kusherehekea ibada ya sikukuu ya Eid El Haj na kuombea Amani Uchaguzi mkuu. https://youtu.be/DNNY-2vzKjY
TBC: Mamlaka ya mawasiliano TCRA imewataka wamiliki wa Radio Na TV kutumia vyombo hivyo kuleta maendeleo ya Taifa na sio kufanya Uchochezi. https://youtu.be/3zkiqOOwXqI
Star TV: Serikali yaitaja Wizara ya Ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi kutokana na...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/U738e8-n71o/default.jpg)
HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI NCHINI
Makamo wa raisi Bi Samia Suluhu apokelewa katika ofisi zake huku akiaahidi kushughulikia changamoto wanazokabiliana nazo katika ofisi hizo. https://youtu.be/caPRR2aT1vI
Kufuatia sintofahamu ya mgogoro wa kisiasa Zanzibar Raisi Dr.Shein akutana na Maalim Seif katika ikulu visiwani Unguja. https://youtu.be/U738e8-n71o
Hofu ya kipindupindu yaukabili mkoa wa Kagera baada ya wagonjwa kadhaa kupokelewa hospitali wakihofiwa kuwa na dalili za ugonjwa huo. https://youtu.be/rryYsjdheAQ
BOFYA HAPA KUONA ZAIDI
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/kkbIxThh61Y/default.jpg)
HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI LEO
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/v1iW4_3ye4A/default.jpg)
HABARI ZA MAGAZETINI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI
Membe amvaa Lowasa,asema hana uwezo wa kuongoza. Awamwagia sifa Zitto Kabwe na Dk.Slaa.Pitia dondoo za magazeti hapa; https://youtu.be/UNzANwKRMyg
Yanga yaiendea Azam Bagamoyo, Samata awania tuzo ya mchezaji bora. Pata...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Wmiq_D3nxJ8/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog02 Aug
Habari kutoka vituo mbalimbali vya Televisheni
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini Takukuru,yawatia mbaroni makada wa CCm kwa tuhuma za kutoa rushwa jijini Dar es salaam.
Azam tv
Wakati kazi ya uandikishaji ikielendelea kwa siku 4 zilizo ongezwa baadhi ya waandikishaji wa BVR wagoma kufuatia kutolipwa mafao yao.https://youtu.be/QfITiVLbDZI
Shughuli za kupata wagombea kusaka kiti cha uraisi zimeanza hapo jana baada ya wgombea wa nafasi hiyo kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo kutoka NEC. https://youtu.be/1A1jz0JCmEA
TBC...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/JS7RTzpqn0U/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/j17Ft_Lo0VM/default.jpg)
9 years ago
Michuzi19 Oct
HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI OKTOBA 19, 2015
Rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Mwinyi awaomba vijana mjini Zanzibar kutokubali kutumika na wanasiasa kuharibu amani; https://youtu.be/BxVbGJH8ezk
Dkt Magufuri azidi kung’ara mjini Mwanza kwa watu wengi kujitokeza na huku akiahidi kuboresha bei ya pamba: https://youtu.be/mQ3jniGJGPc
Wanaharakati mjini Arusha waiomba tume ya taifa ya uchaaguzi...