Habari kutoka vituo mbalimbali vya Televisheni
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini Takukuru,yawatia mbaroni makada wa CCm kwa tuhuma za kutoa rushwa jijini Dar es salaam.
Azam tv
Wakati kazi ya uandikishaji ikielendelea kwa siku 4 zilizo ongezwa baadhi ya waandikishaji wa BVR wagoma kufuatia kutolipwa mafao yao.https://youtu.be/QfITiVLbDZI
Shughuli za kupata wagombea kusaka kiti cha uraisi zimeanza hapo jana baada ya wgombea wa nafasi hiyo kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo kutoka NEC. https://youtu.be/1A1jz0JCmEA
TBC...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi9 years ago
Dewji Blog30 Dec
Habari kutoka vituo mbalimbali vya televisheni leo!!
Kashfa mpya yaibuka bandari ya Dar es salaam baada ya makontena zaidi ya elfu 11 na magari zaidi ya elfu 2 kutolipiwa ushuru. https://youtu.be/y0Z9BCqcUWM
Zikiwa zimebaki siku 7 kabla ya kuanza tena kwa zoezi la bomoa bomoa, hofu yatanda jijini Dar es salaam baada ya maafisa zaidi ya 100 kutoka baraza la mazingira NEMC kusambaa maeneo ya mabondeni kuweka alalma za X kwenye nyumba zilizoko eneo hilo. https://youtu.be/MuyO1r86PL4
Upatikanaji wa huduma muhimu ikiwa ni vyakula pamoja na mavazi...
9 years ago
Dewji Blog06 Jan
Habari kutoka vituo vya televisheni mbalimbali nchini
SIMU.TV: Changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama yazidi kuwatesa wakazi wa Kiwangwa visiwani Zanzibar https://youtu.be/t-rNSt_gLAQ
SIMU.TV: Wakulima mkoani Lindi wamepewa changamoto kulima mazao mengine ya chakula na biashara licha ya mafanikio makubwa ya zao la korosho; https://youtu.be/kN8jcDnkM6U
SIMU.TV: Waziri George Simbachawene amemteua mhandisi Ronald Lwakatare kuwa kaimu mtendaji wa mabasi yaendayo kasi DART.https://youtu.be/rI4R65O29Yo
SIMU.TV: Hospitali teule ya...
9 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi9 years ago
Vijimambo9 years ago
MichuziSIMU TV: HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO
Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani Geita chajipangwa kutumia askari wasiovaa sare ili kudhibiti mwendokasi wa Madereva https://youtu.be/Pkugvqgn5Fo
Mchezo uliopigwa kati ya wenyeji Sudani Kusini dhidi ya Mauritania wavunjika kutokana uwanja kujaa maji ya mvua ilionyesha hapo jana: https://youtu.be/XJQMbuvYOkE
Bondia Man Pacquiao ameweka...