SIMU TV: HABARI MBALIMBALI TOKA VITUO VYA TELEVISHENI
![](http://img.youtube.com/vi/Hylw4hR1ZTM/default.jpg)
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/YrZL-pTqwUw/default.jpg)
SIMU TV: HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO
Wakazi wa Arumeru Mkoani Arusha wameiomba serikali kupitia Mpango Wa TASAF kuongeza wigo wa msaada wa fedha kwa wazee. https://youtu.be/wcopmoLBTDk
Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani Geita chajipangwa kutumia askari wasiovaa sare ili kudhibiti mwendokasi wa Madereva https://youtu.be/Pkugvqgn5Fo
Mchezo uliopigwa kati ya wenyeji Sudani Kusini dhidi ya Mauritania wavunjika kutokana uwanja kujaa maji ya mvua ilionyesha hapo jana: https://youtu.be/XJQMbuvYOkE
Bondia Man Pacquiao ameweka...

Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/bsieNN--2G4/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/ExH0V9jqWps/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/biAJU7aQHl8/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI December 29, 2015.
Serikali imetoa agizo kwa wakuu wa mikoa na wilaya kuhakikisha wanafikisha taarifa za ugonjwa wa kipindupindu wizarani kwa wakati. https://youtu.be/wxauztmL6Rk
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wameunga mkono jitihada za rais Dkt Magufuli kwa hatua anazochukua kupambana na vitendo vya ubadhirifu. https://youtu.be/bYqUW5DXtao
wakazi wa eneo la Kinondoni Jijini Dar wameanza kujenga upya mabanda ili kujihifadhi baada ya nyumba zao kubomolewa. https://youtu.be/BasLD6w7-xw Watanzania...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Mc_E2Hlvbz8/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OCTOBER 27, 2015.
Wakazi Wa Kata Ya Saranga jijini Dar Jana wamefanikiwa kupiga kura ya mbunge na Raisi baada ya kuahirishwa kwa zoezi hilo Oktoba 25. https://youtu.be/vIOP_RKkwuU
Matokeo ya uchaguzi katika jimbo la Mtwara mjini Yametangazwa na msimamizi wa jimbo hilo huku kukiwa na hali ya Vurugu. https://youtu.be/CY2Y2WnYkaM
Jeshi la polisi Visiwani Zanzibar limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya wafuasi wa CUF waliokusanyika katika ofisi za CUF. https://youtu.be/944jzWlWh6kMwenyekiti wa Tume Ya...
9 years ago
Michuzi12 Oct
SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI OKTOBA 12, 2015.
Fuatilia uchambuzi wa soka wa Timu ya Taifa,Taifa Stars inayotarajia kuiivaa Algeria baada ya kufuzu katika hatua ya awali https://youtu.be/FkfZmS2HcH4
Itambue siku ya Taifa ya kuadhimisha upunguzaji wa maafa na majanga ambayo huadhimishwa ifikapo Okoba 13 kila mwaka: https://youtu.be/cFM0NLapGxY https://youtu.be/iC6UbTwuR_0
Klabu ya Toto Afrikan imefanya uchaguzi mdogo kuziba nafasi 3 ambapo Godwin Aiko ameibuka mshindi na kuwa mwenyekiti mpya klabuni hapo:https://youtu.be/s1Q6msm58iY
Klabu...

Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/FePeC6X79Q0/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI TOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI December 30, 2015
Kampuni iliyopewa kandarasi ya kusambaza umeme katika mkoa wa Kagera imelalamikiwa kuwa baadhi ya wafanyakazi wake kujihusisha na vitendo vya Rushwa.https://youtu.be/46Yk2_Je9us
Familia 79 za walemavu wa ukoma katika kambi ya Nyabange wilayani Butiama watoa wito kwa taasisi na mashirika mbalimbali kuwasaidia kuboresha huduma za kijamii.https://youtu.be/Haig5So1Fow
Wakazi wa kijiji cha Mwambegwa kilosa Mkoani Morogoro waiomba Wizara ya ardhi kufuta mashamba pori ya wawekezaji ambayo...

10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Eu8gqh4Ex28/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/lpzgK39dzUE/default.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania